Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 778
- 248
Hafai na skendo ya ufidadi wakimuweka tu Lowasa Magufuli anakua Raisi saa tatu asubuhi. Ukawa wasijaribu hilo suala watajutraaaaa.Kwa nn hapana
Nafikiri iwepo poll ya kuunga mkono Lowassa kuhamia chadema tu, bila kuwa Rais
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Ndio
je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya chadema/ukawa endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu ndio/hapana/sijui
kura hii inawahusu pro-ukawa wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.