Waafrica hawakutoka Mashariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wametokea Africa.
Hata Wamisri wametoka huku kwetu kusini kwao.
Jaribu kumsoma Cheik Anta Diop, sio kila siku biblia tu.
utazigundua utapopitia tena huo ushahidi unaoutaja katika post yako niliyo quote mwanzo kabisa. kama unao lakini
Mkuu kumbe unaelewa good point.Wakoloni walituletea yesu mzungu.lakini ukienda Ethiopia utakuta Yesu wao mwafrika.
Kumekuwepo na mitazamo kwamba biblia inazungumzia wazungu na sisi waafrica we had nothing to do with the bible na wokovu wa wanadamu (for believers), wala bible haitutaji.
Leo nakuletea watu weusi ( waafrica) wanaotajwa ndani ya bible, na walioshiriki kujenga historia ya Israel, ukristo na umuhimu wao
1. Cush- huyu ndo chimbuko hasa la waafrica, ni mtoto wa ham, na mjukuu wa noah. Inaaminika huyu ndo babaya waafrica wote. Ethiopia wanaamini kuwa wao ni direct descendant wa cush. (Genesis 10:8; 1 Chr. 1:10)
2. Zipporah, huyu alikuwa mke wa moses,ikumbukwe kuwa baada ya moses kumuoa watu walilalamika sana mpaka Mungu akataka kuwaadhibu, kisa tu alikuwa mwafrica. Moses wote tunajua umuhimu wake katika historiaya dunia hii. (Numbers12:1)
3. Shulammite, huyu alikuwa mke wa solomoni, na inaaminika wimbo ulio bora aliandikiwa yeye. Anasifika kwa uzuri wake na ngozi yeke nyeusi nyororo. Binti huyu katuwakilisha vizuri sana waafrika mpaka kaandikiwa wimbo mzuri namna ile. (Song of Solomon 1:5),
4. Queen of sheba, huyu ni malkia aliyemtembelea Solomon ili kuhakiki hekima yake. Malkia huyu alikuwa tajiri na mwenye ukwasi wa ajabu. Katika safari yake alibeba mabag ya manukato,dhahabu, uvumba, na vito mbalimbali. Hii inatudhihirishia kuwa Africa tulikuwa vizuri kitambo sana mafisadi tu ndo wametulostisha. Ukoo wa haile selasie wanaamini kuwa wao ni wajukuu wa mfalme solomoni baada ya kuzaa na bibi yaoqueen of sheba(1 Kings 10:1)
5. Ethiopian eunuch Acts8:37, huyu alikuwa ni mlinzi wa malkia wa Ethiopia ambaye ametajwa kuwa maraika walimtuma filipo amtokee jangwani ili amfafanulie kitabu cha isaya alichokuwa akisoma wakati akisafiri kutoka Israel. Hii inatwambia kuwa kumbe hata kabla ya wamisionary maandiko yalikuwepo Africa na tulikuwa tukiyasoma vizuri tu
6. Simeon a.k.a Niger ( Acts13:1), huyu alikuwa mwafrika tena mweusi kiasi cha watu kuacha kumuita simon tu ila wakampa a.k.a ya simon niger. Kwa wanaofahamu simeon ni kati ya watu wa kwanza kabisa kusambaza injili kwa mataifa na kuwa mkuu wa makanisa baada ya Yesu kufa. Kumbe hata sisi waafrica ni kati ya watu walioeneza wakovu sambamba na kina Paulo,silas, na wengineo.
Historia haijatuacha nyuma waafrica, tulikuwepo toka enzi za noah na tutaendelea kuwepo. Na dunia hii tumeshiriki katika kila hatua ya ujenzi na ubomozi. VIVA Afrika.
kiranga nilikutegemea, karibu!!
but wapi nimesema waafrika tumetoka middle east?????
Amen Man of God.Glory to God... Mtumishi...
Safi sana. Wek ushahidi
UKRISTO SIO DINI
We ishmaeli ni mtu wa dini gani sasa?
Shame on you!! Upo kama kinyonga tu
Older than your parents.how old are you???
Unalazimisha mambo.
Si nimesha sema Ukristo sio Dini.We ishmaeli ni mtu wa dini gani sasa?
Shame on you!! Upo kama kinyonga tu
Muhammadan, it is sad to know that, your deity is weak and barren. Do you know why Allah has no child? Because Allah is barren despite been married to Allat.Yuko katika ile kundi ya kusema "Mungu amejigeuza binadamu". Astaghfiruallah!
Huyu M-Paulo anafanya ibada za kichawi, kula mwili wa bwana na kunya damu ya bwana ili ushirikina uonekane ni jambo jema. Ibada gani, jamani hii ibada ya kula mwili? Ukiwaambia acheni mambo ya kichawi, wanakuja juu.
Kitu ni ushirikina wa Paulo tu?
You are dumb and mindless.For about 400 yrs, blacks esp. Africans are still being mindf**ked by foreign religion. Once a slave always a slave. Ur so busy tryin to fit in that book. It's not ur manuscript, in that book u don't matter all.in that book ur just a loser who told to must offer a second chick slap. We need to get back our own black original religion that we had before these two limbs walking pigs came to this continent.
kiranga, kabla ya noah pia kulikuwa na waafrica, possibly mke wa noah alikuwa mwafrica