Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

Deo kiduduye
Alifariki akiwa Radio MAGAMBA (Uhuru)
Mkamiti, alikuwa mke wa Peter Omari. Huyo Peter alipata dili USA, akaenda naye. Kufika huko, jamaa akageukwa, shughuri iliyompeleka ilipokwisha, ikabidi arudi peke yake na kuja kuoa mke mwingine. Naye akaolewa huko, kwa sasa ni mtangazaji wa VOA.
Mtangazaji mwingine ni-
JOAN ITANISA
PAUL JAMES SWEA
ISSACK GAMBA
 
Sasa ww umeshawamaliza wote halafu unasema tuongeze list mkuu,basi km vp tuajiri wengine.
 
kiss colabo mic show na ezdn ze rocker ....nikua mtu wa mwisho kuisikiliza kiss fm ikijifia
hahahah Ezden ni kizazi cha mwisho kilichojitahidi kuokoa Jahazi lakini akaona bora aliache lizame tu hakuna namna
 
Alifariki akiwa Radio MAGAMBA (Uhuru)
Mkamiti, alikuwa mke wa Peter Omari. Huyo Peter alipata dili USA, akaenda naye. Kufika huko, jamaa akageukwa, shughuri iliyompeleka ilipokwisha, ikabidi arudi peke yake na kuja kuoa mke mwingine. Naye akaolewa huko, kwa sasa ni mtangazaji wa VOA.
Mtangazaji mwingine ni-
JOAN ITANISA
PAUL JAMES SWEA
ISSACK GAMBA
rekodi zako ziko sawa kabisa mkuu, tisha sana
 
jamaa alikuwa ni mkali sana, na ninaweza nikasema mpaka leo kwa Tanzania hakuna mtangazaji anaefikia level za Steve Kabuye (Steve kafire)
Jamaa alikuwa anapindi flani hivi star TV linaitwa SUPERTRAXX kwa nyuma alikuwa anapiga background music wa hili pini,halafu alikuwa anakong'ota hiphop zenyewe yaani za ukweli,jamaa alikuwa noma sana STIVIE KABUYE na Ngeli yake si mchezo.
 
Back
Top Bottom