Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

In short, kilikua ni kizazi cha dhahabu... Mara ya mwisho kupenda kusikiliza radio ile sirias sana ni ile kiss collabo mix show ya akina edzen the rocker, walivopotea hao mpaka leo sina passion na redio. Ile kiss collabo mix show ya asubuh zile ngoma cjui Kwa nn nilikua naenjoy vile
 
Soggy Doggy Ngaiza alikuwa anapiga mabongofleva ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom