Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani sharobano aboubakar sauti tamu haswaaKuna yule dem alikuwa kiss fm anaitwa Sharubati Abubakar alikuwa anaongea kiswahili fasaha na british English
Japo hukumuweka kwa list yako lakini Samadu Hasani (Marehemu) alikuwa bora kabisa wa usimulizi wa habari..Stella situmbi
Roy maganga
Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu hata kwa sura watangazaji hao, maana vipindi vilikuwa vimesheheni watu walikuwa na vipaji vya kuogopwa.
ikikuwa ukiwasha redio asubuhi huzimi mpaka kesho ikizima ujue umeme umekatika, KISS FM nilianza kuisikiliza muda kidogo kupitia dishi la televisioni upande wa redio sababu sehemu niliyokuwepo masafa yake yalikuwa hayafiki,
hebu shusha orodha ya watangazaji waliokuwa wanashusha mabalaa kipindi hiko, kwa sasa naona kama hazifanyi poa
RFA
Baruan Muhuza
Gabriel Zacharia
Maregesi Gilsian
Rahabu Fredy
Sandu G (Kid bwoy)
Sam David Kiama (Uncle Sam)
Fredrick Bundala (sky walker)
Fredy fidelis (fredwaa)
Juma Ahmed Baragaza
Glory Robinson
Godwin Gondwe (double G)
Tryphone Anselm (Soggy Dogg)
DJ John
Prince Baina Kamukulu RIP
Zuberi Msabaha RIP
Godfrey Kusolwa (Godman)
Deborah Mpangama
Beatrice Rabachi
ONGEZA LIST.....
KISS FM
Irene Tillya
Yunus Karsan
John Karan
Steve Kabuye (Steve Kafire)
Claudia Mayanka
Tobby Chewe
Chris Mark
Dj Jeff Jerry
Dj Aleco
Dee seven
Ezden Jumanne
JML
ONGEZA LIST......
Bolly b the pilot,sherrybano abubakar aka sherry,d7,dh malliz
Retrace NYERERE yuko wp mkuui?2000-2007
Fred wa,Rahabu fred,Kid bwoy,Glory Robinson,Doekaji Makomba,Juma Ahmed Baragaza,Zuberi Msabaha,Prince Kamukulu,Anko Sam,Beatrice Rabat,Stella Situmbi,Dj John, Baruan Abdallah Muhuza, nk
Sidhani kama itatokea tena ktk tasnia ya habari kuwa na muunganiko wa vipaji kama hivi, walikuwa na maadili, hii ndo ilikuwa RFA.
Vpindi vikali kama Vodacom burudani zaidi,RFA Bonanza,Show time,Mambo mambo,Je huu ni uungwana?,Duniani wiki hii,Weekend Fever,Bolingo time,Uliza ujibiwe,SITASAHAU,Reggae,watoto,
Tunamiss sana tukiokuwa wadau wa RFA.
Tobby The Splash jamaa alikua na English tamu sana sijawahi ona aiseeeeeKumbe Irene Tylla alianzia Kiss FM? Mwaka gani alianza na kuacha na kwenda EA Radio?
Tobby Ze Splash na Stivie Kabuye ni Shida.
Baragaza/wambura mtani ni shidaaa Je huu ni ungwana /Sitasahau Jumanne Magasha
Hawezi fika kwa Tobby The SplashOnly steve kabuye for me, jamaa alikua anatema kimombo mpk raha,
Retrace NYERERE yuko wp mkuui?
Sahara Media wametoa MAJEMBE Wengi sana kwenye Tasnia ya Habari.Tobby The Splash jamaa alikua na English tamu sana sijawahi ona aiseeeee
Kiss collabo na afro jam ndo vilikua vipindi vyangu pendwa kabisa kwa sasa naona vipo hoi