Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

DJ Jeff jerry watu wa hip hop hatuwezi kumsahau
Huyu mwamba alikuwa Kiss Fm,kipindi hiko ikifika saa 8 mchana mtu huchezi mbali na radio.nimesikitika hapo juu nimesoma kuna mdau anasema Joakim A.K.A Bad News ametangulia mbele ya haki.

Hawa jamaa burudani yao ilikuwa poa sana.
 
Tobby the Splash alikua vizuri sana na sauti yake nzito.

Alikua anapenda kusema'always dress to impress'
 
Kusema ukweli KISS FM ilikua ndio redio yangu ya kusikiliza maana ilikua inanikuna hasa,siku wakipiga old school zinapigwa haswa haswa...

Nai miss sana kiss fm ya kipindi kile!
Mimi siku za Jumapili ile kuanzia saa nane mpaka saa 11 jioni wanapiga Ngoma za Billboard halafu usiombe uwe umeshatoka church huku unasubiria promise huku geto linanukia UDI KWENDA MBELE HATAAAARI FIRE KABISA
 
Afro Jamzzzz mida flan hiyo 12 mpaka 1 au 2 kama sikosei, kwenye mashine yupo Dj simba[emoji95][emoji95][emoji95]... Daah kiss fm siku hiz imejifia manna...
 
Back
Top Bottom