Pre GE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
- Kukatika katika hovyo kwa umeme

- Fukuza fukuza ya machinga

- Kuongeza nauli hovyo hovyo

- Ubovu wa miundombinu ya barabara

- Kukwama kwa miradi mbalimbali

- Mfumko wa kutisha wa bei

- Rushwa iliyokithiri

Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo!
 
Ni lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?
yaani CCM mmepoteza mvuto na mmepoteza mwelekeo
Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P
 
Ni lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?

Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P

Akikujibu nitag, tukiwaambia katiba mpya inahitaji wao ndo wa kwanza kupinga!
 
Umeandika 🚮🚮 na ujinga.

Nakuuliza kitu Kimoja ,leta ushahidi wa Rushwa kukithiri kwanza Ili tuone kwamba sio chuki binafsi.

Mwisho fomu ya Urais itakuwa Moja
 
Majaliwa na Kinana hawajui hata bei ya sukari wala petrol wao hizo zipo tu muda wote, kwanini wasitamani maza aendelee ili waendelee kupiga pesa?
 
Ni lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?

Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P
Kwahiyo kwa kukosekana wa kuja ndio ccm izidi kubakishwa na kuzidi kutesa raia?

Hiyo ccm ilivyochaguliwa mara ya kwanza ilikuwa complete kabisa?
 
Huyu mjambiani ni mpumbavu haswa ...anadhani watanganyika tuko tayari kuongozwa na mpumbavu kwa miaka mitano tena...kitu pekee anachotegemea huyu mpuuzi ni kuiba kura na kuanithi upinzani .... kwenye ili la kuanithi upinzani kafanikiwa kwa asilimia 100 maana anatumia pesa za umma kuwaonga wakina mbowe na wengine ....kwahiyo anacho kifanya ni kututia pin [emoji419] watanzania tukose cha kuchagua mbadala hata kama yeye hatumpendi ...
 
Kwahiyo kwa kukosekana wa kuja ndio ccm izidi kubakishwa na kuzidi kutesa raia?

Hiyo ccm ilivyochaguliwa mara ya kwanza ilikuwa complete kabisa?
Kama hakuna any credible replacement, utaendelea kutumia kilichopo mpaka utakapo pata kingine!.
P
 
Kama hakuna any credible replacement, utaendelea kutumia kilichopo mpaka utakapo pata kingine!.
P
Hata kama nayo sio credible?

Ni utemi tu mnafanya kaka.

Watu wanajua wamechoka vipi, nyie mmeshapata nafasi to prove yourselves for 60 years, kama hamjaweza ni hamuwezi tu, acheni utemi. Wekeni mazingira huru ya uchaguzi muache watu wachague wanachotaka.

Hii ya kusema kama hakuna credible replacement iendelee ccm nyinyi ndio mnasema.
 
Samia anapaswa kubadilika kwa faida yake na ya Taifa pia.

Hii hali ya kuwa mpenzi mtazamaji haina afya kwa Taifa.

Hata Kama hapendi au hawezi Magufuli style ya kudeal na public issues.

Basi aje na approach yake mwenyewe lakini ikiwa na lengo la kuhakikisha mambo muhimu ya kitaifa yanafanyika kwa manufaa ya wengi na sio wachache fulani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…