Pre GE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tubadilishe taste ya harassment,tuchague yoyote tu miaka mitano.Kama atapindua katiba atawale milele ni sawa maana matatizo tz tumeyazoea
 
Ina maana Mbowe hatuwezi kumpa ikulu yetu? Humuamini?
 
Mjane wa Marehemu.
Bila ht kusoma najua tu kwenye Maombolezo
 
Ina maana Mbowe hatuwezi kumpa ikulu yetu? Humuamini?
Sio Mbowe tuu, hata Lissu anaweza, hata wewe unaweza, hata mimi ninaweza, swali ni kupitia chama gani?, Mbowe anaweza kabisa kuwa rais wa JMT, lakini Chadema kinaweza?.
P
 
Mambo ya ukristo yameingiaje hapo.stress zako za maisha usizipeleke kusikostahili.toa upumbavu wako hadharani.
 
Hili swali la nani aje, unapenda sana kuliuliza. Unawaaona WaTanzania mafala au!? Iwe ChaDeMa, ACT wote Hawa wanaweza kukabidhiwa nchi na mambo yakasonga.
Huyo kazoea kuishi kwa kujipendekeza kwa viongozi wa sasa ndo maana anaona ni wao tu ndio wanaoweza.afikirii ata kua kuna siku hatakuwepo duniani na atakiacha kizazi chake kwenye mateso makubwa ya ujinga.
 
Huyu jamaa yupo neutral nusu mnafki(mpuuzi) nusu mkweli(anajielewa?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…