Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Vipi maoni yako kuhusu Trans,Non binary na hao LGBT COMMUNITY,kila mmoja aishi vile atakavyo??No! Sababu ni mtu anayezungumziwa mara nyingi eventually utakutana nae tu kwenye page za udaku za huko kwao.
Sitaki hii discussion na wewe.Vipi maoni yako kuhusu Trans,Non binary na hao LGBT COMMUNITY,kila mmoja aishi vile atakavyo??
Haha umesahau kiasi gani napenda mawazo yako,.you got such a beautiful mind girl,..but whySitaki hii discussion na wewe.
Nafahamu, we have been arguing alot. Lakini kwa hii topic sitaki…. 😀Haha umesahau kiasi gani napenda mawazo yako,.you got such a beautiful mind girl,..but why
Haha now hatubishani,tunabadilishana mitazamo,. anyway nitaanza kukwambia Mimi,umeiona movie inaitwa Call Me by Your Name?Nafahamu, we have been arguing alot. Lakini kwa hii topic sitaki…. 😀
No sijaiona, kama ipo Netflix naeza angalia now. Kama haipo nitatafuta namna ya kuipata.Haha now hatubishani,tunabadilishana mitazamo,. anyway nitaanza kukwambia Mimi,umeiona movie inaitwa Call Me by Your Name?
Ipo,mwaka 2017 Kuna mtu aliniambia niangalie ilikua mpya,wakati na seek play naona wanaume Wana kiss,I was like WTF man,no homo,Sijui nilikua homophobic au vipi but sikujisikia kuimaliza,but Kuna siku I was so bored nikaiangalia yoteNo sijaiona, kama ipo Netflix naeza angalia now. Kama haipo nitatafuta namna ya kuipata.
Enhee…
Yes, enheee….Ipo,mwaka 2017 Kuna mtu aliniambia niangalie ilikua mpya,wakati na seek play naona wanaume Wana kiss,I was like WTF man,no homo,Sijui nilikua homophobic au vipi but sikujisikia kuimaliza,but Kuna siku I was so bored nikaiangalia yote
Haha nami siendelei na story..labda wameifuta,Netflix Wana tabia ya kufuta shows na movie Nzuri ambazo sio Netflix original.,can you imagine wameifuta One Tree Hill..Yes, enheee….
Sipati Netflix mbona?
Hapana kwa sababu huyo sio mwanaumeHuyu ni Mwanaume ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536
Ohhh Sikuwa nafahamu kama wanafuta, yes i see haipo.Haha nami siendelei na story..labda wameifuta,Netflix Wana tabia ya kufuta shows na movie Nzuri ambazo sio Netflix original.,can you imagine wameifuta One Tree Hill..
Ila baadaye ukaipenda na kuiangalia yote na inaonekana ukaipenda, anyway sijui hata nilitaka kuandika niniIpo,mwaka 2017 Kuna mtu aliniambia niangalie ilikua mpya,wakati na seek play naona wanaume Wana kiss,I was like WTF man,no homo,Sijui nilikua homophobic au vipi but sikujisikia kuimaliza,but Kuna siku I was so bored nikaiangalia yote
Hah chill boss,.movie gani nzuri ya mwaka huu Netflix..(not Series)Ohhh Sikuwa nafahamu kama wanafuta, yes i see haipo.
Since you started, you are obligated to end it…
Waza unachowaza bossIla baadaye ukaipenda na kuiangalia yote na inaonekana ukaipenda, anyway sijui hata nilitaka kuandika nini
Mea Culpa 😂 (sio nzuri kivilee)Hah chill boss,.movie gani nzuri ya mwaka huu Netflix..(not Series)
Napenda Sana Love stories drama na comedy,hasa Za Adam Sandler, Nicholas Sparks,.Ila drama zisiwe kuzidi reality..haha hiyo mnaipendea Nini?Mea Culpa 😂 (sio nzuri kivilee)
Mi napenda love stories, drama+comedy sijui wewe.
Huwa wananuka sanaHuyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536