Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

Jibu hoja za muislamu mwenzako Mosab Hassan Yousef anadai ideology ya Palestine imeanzishwa juzi tu hapa na akina Arafat ila Israel kama taifa la kale lipo miaka na miaka.
Hahah hawataki kuaambiwa ukweli mkuu

Wapumbavu sanaa
 
Bora uugue ukimwi kuliko kuugua na kitu kinachomsumbua huyu mtoa mada! Mungu akusaidie kijana
 
inaonyesha kiwango chako cha elimu kidogo sana hata kama una vyeti ila bado hujaelimika
Hadi leo hujui story ya huyu spy wa israel aliyekimbilia marekani?
 
inaonyesha kiwango chako cha elimu kidogo sana hata kama una vyeti ila bado hujaelimika
Hadi leo hujui story ya huyu spy wa israel aliyekimbilia marekani?
Mimi ni mpumbavu sana

Ila mimi sio malaya wa hamas
 
Kwahiyo akili utakuwa nayo ww mkaazi wa hapo micheweni?!! Funny🤣
 
Litakuwa limeleft Group na ukute tayari limeolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…