FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hoja iko wapi?Jibu hoja za muislamu mwenzako Mosab Hassan Yousef anadai ideology ya Palestine imeanzishwa juzi tu hapa na akina Arafat ila Israel kama taifa la kale lipo miaka na miaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja iko wapi?Jibu hoja za muislamu mwenzako Mosab Hassan Yousef anadai ideology ya Palestine imeanzishwa juzi tu hapa na akina Arafat ila Israel kama taifa la kale lipo miaka na miaka.
VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI.
Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef.
View attachment 3140302
View: https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj
View: https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd
View: https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
Huyo mtu unayemtolea reference ni spy maarufu wa israel na siyo mtoto wa kiongozi wa hamasMimi ni mpumbavu sana
Ila mimi sio malaya wa hamas
Kwahiyo akili utakuwa nayo ww mkaazi wa hapo micheweni?!! Funny🤣Tatizo wagalatia wengi hamna uwezo wa ku reason linapokuja suala la Bwana wenu Israhell,
Ukimsikiliza jamaa, kama yeye anasema alizaliwa eneo linaloitwa Judea( ambayo ni West Bank). Kwanini Wazayuni wanawafukuza hao waliozaliwa hapo?
Mkiacha ushabiki wa kuabudu wazayuni mkaweka ubinadamu mtakua na akili