Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

Real estate yaani biashara ya ardhi, majengo haina hasara, inalipa inalinda pesa ufilisiki
 
Fungua finance company (crowd funding) ya kuwakopesha wafanyabiashara, nafikiri kitu kama hichi kitawasaidia wafanyabiashara wengi wanaotafuta mtaji/ mkopo kwa bei nafuu
Uaminifu wa kulipa ni sifuri, labda kama unataka hata kuwapokonya vitu vyao walivyoweka Dhamana.
Pana mtu alikopa milioni 50 akatumia milioni 40 kufungua biashara, then milioni 10 akatumia kufanya sherehe eti ya kuaga umasikini, baada ya mwaka akawa masikini kuliko alivyokuwa yaani biashara ilikufa,na Dhamana ikaenda.
 
Nafikiri hapo itakuwa aliyekopesha hakufanya due diligence,
 
Mkuu,

Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious?

Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani.

Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake

Mim ningewekeza kwenye spare za pikipiki na magari kama wholesaler supplier na agent na nusu ningewekeza kwenye hardware, ukiwa na location plus usimamiz mzuri ni moja ya biashara zinazolipa sana
 
Mkuu,

Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious?

Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani.

Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
Njoo kati ya mkoa wa Njombe, Songwe, au Mbeya nunua eneo lakutosha panda miche ya parachichi baada ya miaka miwili hadi mitatu utaanza kuuza parachichi kwa pesa yakutosha kwa muda wa zaidi ya miaka 20. Parachichi moja kwa kadirio la chini ukiuza hukosi 250000+ kwa kila mti matunda yanaongezeka kulingana na umri.

Karibu uwekeze kwenye kilimo kwa faida na utunze mazingira.
 
nunua viwanja baadhi ya maeneo Kama vile dodoma pemben kidog Kama vile mtumba,chahwa,ipala after mwaka mmoja uza
 
Funguka kidogo kuhusu zabibu
nunua hekar 10 eneo lenye maji(bwawa) kwa mfano hombolo kwa ajili ya umwagiliaj otesha Miche shamba lote baada ya apo utakua unacheza na madawa2 kwa mwaka utavuna mara mbil makadilio ziki zaa vizur hekar moja na nusu unaweza vuna million12+ mara mbil kwa msimu million24+ kwa hekar moja na nusu apo kumbuka nimetoa mfano wa hekar moja na nusu kwa sababu ya mashamba ninayo yajua Yana ukubwa huo
 
Back
Top Bottom