the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Napenda apartments ziwe nyumba katikati ya uwanja kisha zinakua na pande tofauti wa kulia,kushoto na wa mbele getini inamaana nyumba inakua na ukuta mkuu katikati,inafanya kila apartment iwe imejitegemea na kila apartment na kibaraza chake