Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Uwaga saikolojia yangu inajiset yenyewe kama nipo kwenye mahusiano siwezagi kukaa siku tatu bila kulala au kushiriki tendo na niliye naye kwenye mahusiano

Ila kama sitakuwa kwenye mahusiano naweza kukaa hata miaka minne na nimeshawahi kukaa kipindi hicho ila sikuwaga kwenye mahusiano

Ni vilee settng tu za brain zipo comfortably kiasi gani?
 
Back
Top Bottom