Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

giphy.gif
 
Sijaona maana ya uzi wako,
Ukishajua itakusaidia nini?
Hayo ni mambo binafsi ya mtu.
Au mtu akisema hawezi kusubiri utamhudumia wewe?
Hey,stress zako kamalizie huko..
Kuna mtu alietajwa hapa?umetajwa?
Umeitwa? Nimekuita?
Kila mtu anachitchat anachojiskia..and by the way unadhani hawa wote tunaochat nao hapa wanandika vitu halisi? Wapi nimeomba mtu aataje vitu halisi

Thread zipo kwa maelfu kama unaona haikufai kucomment si unapita pembeni?

Iam doing this just for fun na wanaelewa..ndo mana wapo cool!

We kama una siku mbaya please katafute pa kumalizia.
 
Mie naelekea 7 years
Umri kuanzia miaka 50 hasa kwa mwanamke anaweza kujizuia hata maisha yake yote yaliyobakia. Zaidi zaidi ukiweza kujizuia ni unakuwa na muda mrefu zaidi wa kuishi duniani. Wengi wa walioshi miaka mingi walikuwa hawana wenza.

Pia kama wewe ukijizuia halafu ukawa na zile funga za muda fulani kwa ajili ya maombi, ni rahisi sana maombi yako kusikiwa na MUNGU ukiwa ktk hali hiyo.

Mimi nimewahi kujizuia wiki 5. Lakini naweza kujizuia zaidi ya hapo. Hali ninazokutana nazo nikiwa ktk hali hiyo kwenye muda wa kuanzia siku ya 4,5 mzigo unasimama sana hasa usiku. Kuanzia siku ya 6,7 toka nianze kuna ndoto za kama unakuwa kama uko na msichana,mara taap romance hivi,tena ile tamu hasa. Kwa kipindi cha nyuma kabla ya kufikia umri nilionao wa 40+ ilikuwa nikifikia hatua hii kuna muda mwisho nawatoa weupe,japo ilikuwa mara chache,mara nyingi nilikuwa nastuka usingizini kabla sijafikia.

Lakini kwa sasa nikifikia ndoto za kuwa karibu na msichana mrembo haidumu lazima nistuka kabla ya kufika mwisho. Kufikia wiki ya 3 hali inaweza kujirudia rudia ya hizo ndoto kwa kasi sana. Kufikia mwezi hali inaanza kuwa ya kawaida kabisa. Najiona niko normal. Na kufikia wiki ya 3 mwili unakuwa sawa sana,kuanzia ngozi,inakuwa soft,ukizingatia mimi ni mtu wa mazoezi kila siku.

Nilichoki-note kikubwa ktk hizo siku za namna hiyo shughuri zangu za kibiashara zinakuwa na mafanikio kuzidi. Mimi mwenyewe nakuwa najiamini.
 
Hapo upande wa kiroho umenigusa.
Abstinence kuna wakati inakuafanya uwe na uhusiano mzuri na Mungu..

Mwenyewe anaelewa kwanini kaamuru usizini
 
Back
Top Bottom