second9
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 216
- 451
Naona unatudolishia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unatudolishia
Umepata dada sema nipo mbali😁😁😁Ndiyo Kaka...
Kutoka Darsalade kwenda Mrenyi😄
Nyamwi hauna pesa kipenzi😁😁😁
sina masharti magumu.yanatekelezekaNataka , masharti ndio kasheshe 🤣
Hizo nyama hapo ni chakula kamili, kula zenyewe tu achana na Ugali
Kwetu neno nyama tu linatosha kumaliza sahani mbili za ugali na maji ya kunywa lita moja.Watu wanakula ugali mkavu au kwa kutoezea kwenye maji ya chumvi sembuze hii? Kina Mshana Jr wanakula ugali kwa kuangalia picha ya samaki ije kuwa nyama halisi! Kua uyaone dogo!
Kule nyuma hawajasikia mkuu, wanaomba uongeze sauti 😂H
ivyo tu ? Mbona mkavu mm nakula!! Au ugali na miwa au ugali na embe unaweza??
BahariniMkuu acha ungese basi....kwani kwenu wapiii??
Huku bara watu wanakulq ugali na mgagqni wa kuchemshaBaharini
Sisi hukua baharini tunakula kasa,ngisi,papa na kova za baharini kalibuHuku bara watu wanakulq ugali na mgagqni wa kuchemsha
Kah! ugali karanga unaliwa, ugali parachichi unaliwa sembuse huo mboga yote hiyo, hiyo nyama si inachumvi? halafu ugali mdogo nyama nyingi hebu ongeza ugali huo