min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Wapi huko ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko ?
The Icebreaker nisaidie mkuu😁😁😁😁
Ugali na supu kama hivyo kuwe na ndim na pilipili unaisha wote huo ndani ya sekunde chache.Ugali na mchuzi wa nyama au wali na mchuzi wa nyama siwezi kula haushuki kabisa ila ugali wa supu tu ya nyama au wali unashuka vizuri tu
Kwetu TunduruWapi huko ?
Mchuzi wa hivyo kwangu ni favourite kuliko mchuzi wa kuungwa na nyanyaMapishi ya watu wa Musoma hayo...
Mambo ya kuunga nyama sijui samaki siyo mambo yao...
Na inakuaga tamu kuliko michuzi iliyowekwa viungo..
Kabisa mkuu na bia pembeniWali wa supu hapana😎
Ugali na supu kama hivyo kuwe na ndim na pilipili unaisha wote huo ndani ya sekunde chache.
Hahahah 😁bia hutalewa ukila ugali hivyoKabisa mkuu na bia pembeni
😄😄The Icebreaker nisaidie mkuu😁😁😁😁
Hapa ni asubuhi tu ila nimeshalewa bia mkuu😄😄😄Hahahah 😁bia hutalewa ukila ugali hivyo
Leo nimeamka na pombe nihurumie tu🙌
😁Asubuhi ya nchi gani mkuu, huku umatumbini ni saa 3 usikuHapa ni asubuhi tu ila nimeshalewa bia mkuu😄😄😄
😁😁😁😁😁😁😁😁Asubuhi ya nchi gani mkuu, huku umatumbini ni saa 3 usiku
Huko chakula chetu pendwa kipindi tupo advance. Nakumbuka ugali nyama na matunda ni jumatano. Ilikuwa ni sherehe.Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa.?View attachment 3165185
Kumbe upo abroad na husemi😀Leo nimeamka na pombe nihurumie tu🙌
Namtumbo kumbe nayo ni abroad ziheshimiwe vpn kwa kweli 😄😄😄Kumbe upo abroad na husemi😀