Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Mimi ninaweza

ila hivi vitu vimeliwa sana na watu tuliopitia shule za bweni zilizo chini ya serikali.

Ugali Kwa supu ya nyama.
Ugali Kwa supu ya maharage
Wali Kwa supu ya nyama/maharage
Makande mchemsho
Afu wengine wamekula mpaka kisamvu mchemsho Kwa ugali
 
Naunga vyakula kwasababu wanakula wengine, kama ni mimi pekeyangu au na mama yangu, ugali na supu au wali na supu ndio mambo yetu.

Kwahiyo huo msosi hapo mezani ni perfect kabisa.
Jirani...
Hawa watoto wakishua wanakuaga nyoronyoro sana...😂
Hapo huku kwetu tunatupia kichuri na pilipili kwa wingiii😋
 
Back
Top Bottom