Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Mimi ninaweza

ila hivi vitu vimeliwa sana na watu tuliopitia shule za bweni zilizo chini ya serikali.

Ugali Kwa supu ya nyama.
Ugali Kwa supu ya maharage
Wali Kwa supu ya nyama/maharage
Makande mchemsho
Afu wengine wamekula mpaka kisamvu mchemsho Kwa ugali
Hayo maisha siyawezi kwa kweli!

Ninachoweza kula hapo ni wali kwa supu ya nyama tu!
 
Hayo maisha siyawezi kwa kweli!

Ninachoweza kula hapo ni wali kwa supu ya nyama tu!
Hiyo kitu inashuka vizuri, tena kwenye picha hapo kuna nyama nyingi sana, kuna mdau humu alipiga ugali na dagaa wa kuchemsha, tena walikuwa hawajaungwa
 
Mbongo hapiki Nyama Hadi Mambo mawili yatokee.
1. Awe anaumwa.
2.Mnyama anaumwa .
Nyongeza
3. Mhusika na Mfugo wake wote wanaumwa.

Zis z Afrika.
 
Back
Top Bottom