Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Watu wamekomaa kuongelea msosi alafu ukute mleta mada yeye ana maanisha kula mwanamke asiye na shanga kiunoni 😂😂
 
LIshe saafi kabisa hiyo..tena wewe wala nyama na ugali SIO Ugali na nyama..IMETULIA
 
Samaki fresh
Nyama fresh
Kuku fresh
Huwa haniungii wife nishatoa summary kitambo. Otherwise kama samaki alikuwa kakaa muda mrefu kaanza kuonesha dalili isiyopoa ndo ataungwa.
 
Back
Top Bottom