Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Kwema wajumbe?

Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.

Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.

Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.

Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.

Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.

Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.

So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Ni sawa tu
 
Mkuu h
Ndio maana nimesema siruhusu kwa muda huo kuingia ndani Mkuu.
.Maana kwa wakati huo unaweza kuvunja mtu.
Mkuu hebu nisikilize vizuri hebu mruhusu angie ndani ondoa hasira zote hizo kisha ongea nae kwa upendo kitu ambacho umechukizwa nacho kisha utaona mabadiliko na muujiza hapo hapo, hii itaongeza upendo na kama utataka kuyamaliza kabisa waite na ndugu zake mkae muongee nao hizi ndizo busara
 
Kipigo ni muhimu sana mkuu sema Mimi sijawahi piga maana Huwa tunazungumza tu yanaisha.

Aliwahi kulikoroga nili mwambia afate fimbo na alale chini nimtandike viboko. Kweli alifata na akalala. Sikumpiga nikamwambia nyanyuka na usirudie Tena!! Kweli ana nitii.

Mwanamke asinyimwe mapigo achana na hoja za mafeminist

Wasemao usimpige mkeo
Kama mtoto wako unapiga kwann mke asipigwe eti utaua ukipiga fimbo hata kama ni ,100 hawezi kufa labda kama unapiga Kwa dhamira ya kuua
 
Kwa sasa tumekuwa watu wazima. Mara ya mwisho kumpa kofi mke wangu ilikuwa mwaka 94.
 
Kipigo ni muhimu sana mkuu sema Mimi sijawahi piga maana Huwa tunazungumza tu yanaisha.

Aliwahi kulikoroga nili mwambia afate fimbo na alale chini nimtandike viboko. Kweli alifata na akalala. Sikumpiga nikamwambia nyanyuka na usirudie Tena!! Kweli ana nitii.

Mwanamke asinyimwe mapigo achana na hoja za mafeminist

Wasemao usimpige mkeo
Kama mtoto wako unapiga kwann mke asipigwe eti utaua ukipiga fimbo hata kama ni ,100 hawezi kufa labda kama unapiga Kwa dhamira ya kuua
Uncivilised caveman
 
Sasa mke wako ana tofauti gani na mtoto wako?
Yaani mtu unamlisha ,akiumwa unamtibu, nguo unamnunulia ,akitaka kusafiri unamlipia nauli kila kitu anacho kitumia umemnunulia wewe, sasa huyo ana kuwa na tofauti gani na mtoto wako?
Kwahiyo na mama ako ukimpa vyote hivyo anakua mwanao? Na watoto wako wanakuona ukiwa huna nguo?
 
Kwahiyo na mama ako ukimpa vyote hivyo anakua mwanao? Na watoto wako wanakuona ukiwa huna nguo?
Mama nikimpa kitu nampa kama zawadi, lakini kila kitu ninacho mpa mke na watoto ni wajibu wangu na nisipo itimiza naweza pelekwa hata jera.
 
Mama nikimpa kitu nampa kama zawadi, lakini kila kitu ninacho mpa mke na watoto ni wajibu wangu na nisipo itimiza naweza pelekwa hata jera.
Wapi huko? Bongo hii hii huko "jera" si pasingetosha.
 
Wapi huko? Bongo hii hii huko "jera" si pasingetosha.
Ninacho jaribu kukueleza ni kuwa kwa mujibu wa sheria za kiserikali ,kidini na kimila ni razima kwa mwanaume kwa mwanaume kuwatunza mke na watoto.
 
Sema hata mimi wife akisema aonje wine in my absence lazima tugombane(sio kumpiga), na hata kama anaonana na marafiki zake, ndio apige simu saa2 "kukupa taarifa"?
Wanawake wa sasa wengi ni vichomi sana, siafiki kupiga, ila wanaoona sawa waendelee tu.
 
Kama kafikia hatua hiyo kumpiga umeshafeli kashinda Beto ,jipange au chagua kumkumbusha matumizi yakondomu nje ya ndoa
 
Mkuu hakikisha na ww una mnunia na sik nyingine ukiwa una piga piga kisawa sawa mpaka utoe JINO,,, kumbuka na ww kuna
 
Back
Top Bottom