Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Binadamu wa sikuhizi si wa kupiga. We mwambie sitaki hiyo tabia ukiifanya basi umevunja ndoa yako na akiifanya vunja ndoa. Watu wapo delicate sana siku hizi, usipige pige hovyo unaweza jiharibia maisha.
 
Kwanza nijibu, ww mkeo ukimkuta na mwanaume mwingine kitandani kwako analiwa utampiga na upande wa kanga na hiyo nyama laini kama unavyo jitapa hapo?

Kwani yeye alikuwa anampiga kumuuwa au alikuwa anampiga kumrekebisha.
Hapa duniani kila mtu anaye pigwa angekuwa ana kufa si dunia ingekuwa tupu?
Ww hujatoa ushauri bali umehukumu moja kwa moja baada ya kusema eti kumpiga mke ni upungufu wa akili.

Kwa hiyo ww umesha jihakikishia kwenye maisha yako yote hutokuja kuenda jela kisa humpigagi mkeo?

Ebu punguza undina basi.
Mkuu Elewa kuwa mwanamke hapigwi,hayo ya kitandani ni yako
 
Mkuu umechukua hatua kali sana!
Tabia ya mtu mzima haikomeshwi kwa kupigwa mikanda au mabuti!
Kwenye ndoa hatuchungani bali tunalindana!
Kama haupo Mkeo anaweza akafanya anavyotaka na usimgundue.
Harafu wewe ni Mkurya au Mwanajeshi!
 
Hauna uhuru wa kumpiga mke wako, ni kosa la jinai.

Ukimpiga mke wako katika enzi hizi unatakiwa upelekwe polisi kisha mahakamani ukafungwe kama utakiri mwenyewe ulimpiga au itathibitika kwa ushahidi ulimpiga.
Sio mke tu kumpiga mtu yeyote ni kosa ,lakini kumbuka hata ufisadi na utekaji ni kosa la jinai pia ,lakini walio tunga hizo sheria ndo wanaongoza kwa ufisadi na kuteka watu kwa masilahi yao binafisi.
Hivyo na mm ikinirazimu natarazimika kuvunja sheria kwa masihi yangu na familia yangu kwa ujumla.

Hata ushoga ni kosa kisheria ndani ya nchi hii ila ww huwa unashinda humu unautetea kwa masilahi yako binafisi, hivyo kila mtu afanye kila anacho kiona ni sawa ikitokea nimeenda jera hilo sio juu yako.
 
Kupiga mke ni kosa kote duniani katika nchi zilizostaarabika, sitetei ushoga kwa maslahi yangu ila kwa maslahi yako wewe na wengine mtakaoamua kwa mashoga. Ukimpiga mke wako unamdhuru, unaweza kumfanya kilema au hata kumuua na pia ukasababisha watoto kumpoteza mama yao, ukiwa shoga haumdhuru mtu yeyote.

Acha kujificha katika kichaka cha ushoga ili kumpiga mke wako, unakuwa uncivilised moron.
 
Alinogewa na ubuyu. Wanaume mnapendaga sana kujiona nyie mpo perfect. Mwenzio kateleza kidogo unampiga kwani mtoto wako huyo? Wewe hujawahi kukosea? Alikupiga?
Sasa mke wako ana tofauti gani na mtoto wako?
Yaani mtu unamlisha ,akiumwa unamtibu, nguo unamnunulia ,akitaka kusafiri unamlipia nauli kila kitu anacho kitumia umemnunulia wewe, sasa huyo ana kuwa na tofauti gani na mtoto wako?
 
Mkunje angali mbichi kabisa,asikuzoeee alafu usikubali kuwa na mke anayeendekeza the so called friends,kataa kabisa.Nirudie kukupongeza kwamba angalau umeonesha nani mwanaume ndani
 
Sio sahihi kbsaaa...labda pawepoo na dharura..lkn sio upuuzi sijui magroup sio upuuzi ganii...Mwanamke lzma uwe royal na maisha yakoo hasa ukiwa mke wa ndoaa...haiwezekani mke wa ndoa unazurura kwenye mabaa sijui wapi kila tukio na masherehe upoo nope kwa kweli🙌🙌..
 
Kupiga mke ni kosa kote duniani katika nchi zilizostaarabika, sitetei ushoga kwa maslahi yangu ila kwa maslahi yako wewe na wengine mtakaoamua kwa mashoga. Ukimpiga mke wako unamdhuru, unaweza kumfanya kilema au hata kumuua na pia ukasababisha watoto kumpoteza mama yao, ukiwa shoga haumdhuru mtu yeyote.

Acha kujificha katika kichaka cha ushoga ili kumpiga mke wako, unakuwa uncivilised moron.
Ww sema unatetea ushoga kwa sababu na ww uko kwenye mkondo huo huo kwani hao wanao tarajia kuwa mashoga wamekutuma uwasemee?
Mm sijawahi kumpiga mke wangu kwa sababu anatimiza majukumu yake kama mama wa familia sasa nimpige wa nn?
Basi hata mm nikiamuwa kumuadabisha mke wangu sifanyi hivyo kwa masilahi yangu bali nafanya kwa masilahi ya watoto wangu ili wawe na mama anaye jua majukumu yake kama mama wa familia,na sio mama anaye shinda kwenye maclub ya pombe na disco.
Alafu tafsiri ya kustaarabika huwa inatafsiriwa kwa njia mbali mbali kutokana na jamii husika, kama ww unavyo ona sio ustaarabu kumpiga mwanamke akikosea ,hivyo hivyo kuna wanao ona sio ustaarabu kufanya ushoga ambao upo hapa unautetea, kwa hiyo kila mtu ashike njia zake.
 
Kwema wajumbe?

Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.

Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.

Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.

Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.

Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.

Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.

So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Nilishawahi kusema hawa sometimes vikofi viwili vitatu au charaza fimbo kidogo inasaidia,maana hapo kuna mawili,inaweza kuwa ni kweli marafiki zake au tayari wameshamkalawila...
 
Duuuh, pole sana mkuu ila kuhusu kumpiga mkeo sikuungi mkono ishi na mkeo kwa akili ungetafuta namna ya kuongea nae huwenda angekuelewa akabadirika, nakushauri hivi kwa sababu siku utakuja kuuwa bure ujutie maisha yako yote lakini pole sana mkuu naamini atabadirika
Hivi watoto na mwanamke yupi ni rahisi kufa kwa kuchapwa,unapiga watoto wako fimbo wakikosea halafu huyu mtu mzima unasema ukimpiga atakufa.Mcharaze kwa akili tu kama unavyocharaza watoto unaowapenda...
 
Ww sema unatetea ushoga kwa sababu na ww uko kwenye mkondo huo huo kwani hao wanao tarajia kuwa mashoga wamekutuma uwasemee?
Mm sijawahi kumpiga mke wangu kwa sababu anatimiza majukumu yake kama mama wa familia sasa nimpige wa nn?
Basi hata mm nikiamuwa kumuadabisha mke wangu sifanyi hivyo kwa masilahi yangu bali nafanya kwa masilahi ya watoto wangu ili wawe na mama anaye jua majukumu yake kama mama wa familia,na sio mama anaye shinda kwenye maclub ya pombe na disco.
Alafu tafsiri ya kustaarabika huwa inatafsiriwa kwa njia mbali mbali kutokana na jamii husika, kama ww unavyo ona sio ustaarabu kumpiga mwanamke akikosea ,hivyo hivyo kuna wanao ona sio ustaarabu kufanya ushoga ambao upo hapa unautetea, kwa hiyo kila mtu ashike njia zake.
Fatma Karume muumini mwenzako huwa anawatetea mashoga lakini sijawahi kuona akitetea wanaume wanaopiga wake zao.
 
Piga kabisa na ikiwezekana umuue kabisa,msimamo wangu uko pale pale mke hapigwi.ni ujinga wa kiwango Cha lami kupiga mkeo
Kwa nn nimpige nimuue ili iweje hasa.
Kama unavyo ona kumpiga mwanamke akikosea ni uzuzu wa kiwango cha rami ,na mm pia naona kufanywa zuzu na mkeo kama ww ni ujinga wa kiwango cha rami .
 
Fatma Karume muumini mwenzako huwa anawatetea mashoga lakini sijawahi kuona akitetea wanaume wanaopiga wake zao.
Sichukii ushoga kwa sababu ya dini yangu bali nachukia ushoga kwa sababu ni kinyume na maadili ya jamii yangu.
Mtu kuwa dini moja hakufanyi kuwa na mtazamo sawa, maana hata huyu mleta mada aliye piga mkewe wenda mnaamini kwenye dini moja.
 
Kwa nn nimpige nimuue ili iweje hasa.
Kama unavyo ona kumpiga mwanamke akikosea ni uzuzu wa kiwango cha rami ,na mm pia naona kufanywa zuzu na mkeo kama ww ni ujinga wa kiwango cha rami .
Ni lami sio Rami ,piga mkeo mkuu akuheshimu maradufu
 
Back
Top Bottom