Unaweza kumruhusu mkeo akae nje mpaka saa 4 za usiku na anaowaita rafiki zake?

Alitakiwa aelewe misimamo yako mapema sio kwanjia anayotumia sasa ya trial and error katika kujua kipi unataka kipi hutaki. Sasa ulivyompiga tayari amesharidhika kuwa yameisha lakini ameshaliwa.
Kesho akijisikia genye tena atayoka akafokolewe anajua akirudi ni mikanda af inaisha.

onyesha uanaume. Beba vyako nenda.
 
Huyo mkeo hiyo get together party ilmekuja ghafla? Kama ilikuwepo kitambo kwanini asingekupata taarifa kabla? Yaani amekurukupuka saa mbili usiku ndiyo kuna get together na mashostito wake? Kashaliwa huyo.
 
Kwema wajumbe?

Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.

Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.

Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.

Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.

Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.

Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.

So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Umempapasa wewe 😹😹😹
 
Haya kapige mkeo Sasa Hadi uue,unaelewa maana ya ushauri wewe ,ulitaka niandike kile wewe unataka!? Basi kaue mkeo
Kwanza nijibu, ww mkeo ukimkuta na mwanaume mwingine kitandani kwako analiwa utampiga na upande wa kanga na hiyo nyama laini kama unavyo jitapa hapo?

Kwani yeye alikuwa anampiga kumuuwa au alikuwa anampiga kumrekebisha.
Hapa duniani kila mtu anaye pigwa angekuwa ana kufa si dunia ingekuwa tupu?
Ww hujatoa ushauri bali umehukumu moja kwa moja baada ya kusema eti kumpiga mke ni upungufu wa akili.

Kwa hiyo ww umesha jihakikishia kwenye maisha yako yote hutokuja kuenda jela kisa humpigagi mkeo?

Ebu punguza undina basi.
 
Acha ujima ustadhi, mwanamke hapigwi, hata ustadhati FaizaFoxy atakufahamisha hilo
 
Kwema wajumbe?

Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.

Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.

Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.

Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.

Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.

Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.

So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
KAMA SIO BIKRA USIOE
 
Acha ujima ustadhi, mwanamke hapigwi, hata ustadhati FaizaFoxy atakufahamisha hilo
Huo ni mtazamo wako na una uhuru wa kuamuwa familia yako uindesheje na kwa mitazamo yako.
Ww mkeo akikukosea uwamuzi uko ndani yako umpige kurekebisha ,umfukuze,umsamehe hayo yote yako kwenye maamuzi yako.
 
Kupiga wanawake ni ujima, ni mtindo wa maisha wa cavemen na watu wa kale wasiostaarabika
 
Nimesha kwambia kila mtu ana uhuru wa kuishi na kuendesha maisha yake anavyo taka ,ww ukiishi kisasa ina tosha ,
Ww hujawahi kuwa na mchango wowote kwenye maisha yangu mpaka unipangie namna ya kuendesha mambo yangu au ya mtu mwingine.

Kwanza ww hata mke huna na huna mpango wa kuwa naye hii mada haikufai.
 
Kwema wajumbe?

Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.

Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.

Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.

Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.

Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.

Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.

So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Mwache adangishwe kama huwezi chapa kazi vizuri nime experience kitu mwanamke ukimchikulia poa nae hivyo hivyo ndivo anavokua unachotakiwa ni kukaza kishundu ili eshima ikae
 
Nimesha kwambia kila mtu ana uhuru wa kuishi na kuendesha maisha yake anavyo taka ,ww ukiishi kisasa ina tosha ,
Ww hujawahi kuwa na mchango wowote kwenye maisha yangu mpaka unipangie namna ya kuendesha mambo yangu au ya mtu mwingine.

Kwanza ww hata mke huna na huna mpango wa kuwa naye hii mada haikufai.

Hauna uhuru wa kumpiga mke wako, ni kosa la jinai.

Ukimpiga mke wako katika enzi hizi unatakiwa upelekwe polisi kisha mahakamani ukafungwe kama utakiri mwenyewe ulimpiga au itathibitika kwa ushahidi ulimpiga.
 
01: Si sahihi mwanamke kutokuwepo nyumbani zaidi ya saa kumi na mbili jioni bila ruhusa yako

02: Hauwezi kumbadilisha mtu mzima kwa kumpiga tu, hubadilika punde akiamua kwa dhati ya moyo wake

03: Tumia njia zote zisizokuwa za kikatili kama kuongea naye, kumwonya, kumchezea saikolojia, n.k.

04: Asipobadilika maana yake haummudu: piga chini
 
Ingekua ni mimi hii thread ningeiandika kwa wakati uliopita kichwa kisomeke hivi 👇🏻

"Hivi unaweza kumruhusu aliyekua mkeo kukaa nje na high school friend mpaka saa nne usiku?"

Note:

Sina muda wa ku entertain ujinga kabisa 😡 ningempa straight Red card
 
Alinogewa na ubuyu. Wanaume mnapendaga sana kujiona nyie mpo perfect. Mwenzio kateleza kidogo unampiga kwani mtoto wako huyo? Wewe hujawahi kukosea? Alikupiga?
 
Umempapasaa mkuu,yaani badala ya kujinunisha alipaswa awe amevimba mdomoo na usonii yaani automatic ununajiii. Marafikii wanampotezaa pole inaonekana Anatako kubwaa Akili punje ya sukari.
 
Back
Top Bottom