Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Umri wa ndoa sio kipimo cha uwezo wa akili wa mtu sio kipimo cha hekima na busaraNakijua mkuu ,20 yrs kwenye ndoa bila Kofi Kwa mke wangu sio mchezo ukute wewe miaka 3 ndani ya ndoa Kila siku kelele
Ni sawa tuKwema wajumbe?
Ebana last night nilimkung'uta wife haswa kwa kuchelewa kurudi home.
Mchezo mzima ulianza hivi,me nilirudi jana mapema kutoka job,nikategemea nae atarudi muda wake niliouzoea ambao ni saa 11 jioni.
Mara ghafla nikaona kwenye saa 2 usiku mtu ananipigia eti ananiambia upuuzi sijui wa yuko na some friends wake wa high school wana tafrija ya get together..nikaguna tu then nikamkatia simu.
Nikamtafakari sana kwamba kumbe huyu pimbi nikiwa sipo anaweza kulala kabisa nje ya home.
Nikamuacha karudi home vizuri,nikamsikia ananukia harufu ya pombe na wakati huwa anazuga hanywi pombe.kumhoji akaniambia eti mashosti zake walimconvince anywe.
Ebana nilishikwa na hasira nikachomoa mkanda wangu wa suruali nilimpiga kama mtoto mdogo..leo siku nzima naona hajatoka ndani yupo tu kajinunisha.
So wakuu lablda niwaulize ni sahihi mke kunirudia nyumbani usiku kwa kisingizio kuwa alikua na the so called friends?
Njoo kwangu ujifunze maishaya ndoa ,ni ndoa ya amani kcheko na furaha Kila sikuUmri wa ndoa sio kipimo cha uwezo wa akili wa mtu
Mkuu hebu nisikilize vizuri hebu mruhusu angie ndani ondoa hasira zote hizo kisha ongea nae kwa upendo kitu ambacho umechukizwa nacho kisha utaona mabadiliko na muujiza hapo hapo, hii itaongeza upendo na kama utataka kuyamaliza kabisa waite na ndugu zake mkae muongee nao hizi ndizo busaraNdio maana nimesema siruhusu kwa muda huo kuingia ndani Mkuu.
.Maana kwa wakati huo unaweza kuvunja mtu.
Kama ni hivyo safi kabisa mkuu unafanya vyema usiruhusu vitu viharibu amani yenuNjoo kwangu ujifunze maishaya ndoa ,ni ndoa ya amani kcheko na furaha Kila siku
Kwa sasa tumekuwa watu wazima. Mara ya mwisho kumpa kofi mke wangu ilikuwa mwaka 94.Mkuu h
Mkuu hebu nisikilize vizuri hebu mruhusu angie ndani ondoa hasira zote hizo kisha ongea nae kwa upendo kitu ambacho umechukizwa nacho kisha utaona mabadiliko na muujiza hapo hapo, hii itaongeza upendo na kama utataka kuyamaliza kabisa waite na ndugu zake mkae muongee nao hizi ndizo busara
Uncivilised cavemanKipigo ni muhimu sana mkuu sema Mimi sijawahi piga maana Huwa tunazungumza tu yanaisha.
Aliwahi kulikoroga nili mwambia afate fimbo na alale chini nimtandike viboko. Kweli alifata na akalala. Sikumpiga nikamwambia nyanyuka na usirudie Tena!! Kweli ana nitii.
Mwanamke asinyimwe mapigo achana na hoja za mafeminist
Wasemao usimpige mkeo
Kama mtoto wako unapiga kwann mke asipigwe eti utaua ukipiga fimbo hata kama ni ,100 hawezi kufa labda kama unapiga Kwa dhamira ya kuua
Safi sana mkuu huku ndiko kukuwaKwa sasa tumekuwa watu wazima. Mara ya mwisho kumpa kofi mke wangu ilikuwa mwaka 94.
Kwahiyo na mama ako ukimpa vyote hivyo anakua mwanao? Na watoto wako wanakuona ukiwa huna nguo?Sasa mke wako ana tofauti gani na mtoto wako?
Yaani mtu unamlisha ,akiumwa unamtibu, nguo unamnunulia ,akitaka kusafiri unamlipia nauli kila kitu anacho kitumia umemnunulia wewe, sasa huyo ana kuwa na tofauti gani na mtoto wako?
Mama nikimpa kitu nampa kama zawadi, lakini kila kitu ninacho mpa mke na watoto ni wajibu wangu na nisipo itimiza naweza pelekwa hata jera.Kwahiyo na mama ako ukimpa vyote hivyo anakua mwanao? Na watoto wako wanakuona ukiwa huna nguo?
Wapi huko? Bongo hii hii huko "jera" si pasingetosha.Mama nikimpa kitu nampa kama zawadi, lakini kila kitu ninacho mpa mke na watoto ni wajibu wangu na nisipo itimiza naweza pelekwa hata jera.
Ninacho jaribu kukueleza ni kuwa kwa mujibu wa sheria za kiserikali ,kidini na kimila ni razima kwa mwanaume kwa mwanaume kuwatunza mke na watoto.Wapi huko? Bongo hii hii huko "jera" si pasingetosha.
😂Ungemuua kabisa ili asirudie milele
Sema wa kwakoNasisitiza mke hapigwi.