Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?

Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Kama ni ela ntampa zote nilizonazo ila figo yangu hapana
 
Kwanini baba ake mzazi asimpe hiyo FIGO?

Mwili wangu ni mtukufu, siwezi kuchomoa figo langu nilibandike kwa kipusa ambaye tumekutana tu bar nikamtandika hogo akaanza kujiita MAMA KOMWE!

Siku atakayoniomba figo ntamcharaza kweli kweli ntampa kichapo cha GOVINDA au VAN DEO, namsawazisha meno yote ya mbele. EBOO!! FAMCHEZO!

Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Maghayo
Wewe kuna maneno bila kuyataja haupo sawa kabisa ....
Umeachana na lile k.... Nyeo..

Sasa ni hogo
 
Back
Top Bottom