mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
seriousMmmh seriously mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
seriousMmmh seriously mkuu
Huyu huyu , Nishai Mtombangile Kitwango...Yalimkuta joti hayo hayo
Oky mkuu nakuchekserious
Labda anamaanisha FIGO wa jfUnamaanisha figo ile organ inayokaa ndani ya mwili ambapo kuiona tu ni mpaka wakupasue?
Au una maanisha Figo yule winga wa zamani aliyecheza Madrid na Barcelona?
Tuelewane kabiaa hapo..
Khee! Baki na figo lakoinabidi niwe na uhakika 100% kwamba unanipenda
sasa sijui hapo utafanyaje
labda upigwe risasi kwa ajili yangu
Ahahahahaha ukoo wa mikazo...Huyu huyu , Nishai Mtombangile Kitwango...
Hahahaa...AliyatimbaaAhahahahaha ukoo wa mikazo...
Baada ya kuiba kuku...
Alipata zari la kupata pisi moja kali ambaye baba wa huyo pisi anahitaji figo mbili zote ili joti apewe mke
Nakuletea nyingineHeee 😅😅😅
Ahahahah nishai jau sanaHahahaa...Aliyatimbaa
Kama ni ela ntampa zote nilizonazo ila figo yangu hapanaNi kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?
Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Wayahudi wanahitaji organs huko gaza.Nimeshaangali youtube watu wanawayolea wapenzu wao figo lakini wanakuja kuachwa.
sio lazima upigwe shabaKhee! Baki na figo lako
Kumbe ni biashara!!Mi siombi mtoto, yy anataka Figo mi nataka mtoto tukishindwana bas biashara itakua imefeli
hivi hamna hamna figo unapata kama shilingi ngapi mzeeNimeshaangali youtube watu wanawayolea wapenzu wao figo lakini wanakuja kuachwa.
Tena yenye risk kubwa kwangu zaidi kuliko kwakeKumbe ni biashara!!
Yaani jamaa anaamini Youtube 😄😄hivi hamna hamna figo unapata kama shilingi ngapi mzee
Karibu.Oky mkuu nakuchek
Wewe kuna maneno bila kuyataja haupo sawa kabisa ....Kwanini baba ake mzazi asimpe hiyo FIGO?
Mwili wangu ni mtukufu, siwezi kuchomoa figo langu nilibandike kwa kipusa ambaye tumekutana tu bar nikamtandika hogo akaanza kujiita MAMA KOMWE!
Siku atakayoniomba figo ntamcharaza kweli kweli ntampa kichapo cha GOVINDA au VAN DEO, namsawazisha meno yote ya mbele. EBOO!! FAMCHEZO!
Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Maghayo