Unaweza kupata mwanaume wa kukuoa ambaye hatakushawishi ufanye naye ngono kabla ya ndoa

Jumamosi iliyopita tulikuwa na semina kanisani kwetu, semina hiyo iliyohusu mambo ya mahusiano mapenzi hadi ndoa ilichangamsha sana vijana wanaosubiria ndoa, maswali mbalimbali yaliulizwa na wanasemina wa jinsia zote. Miongoni mwa maswali yaliyoulizwa kulikuwa na swali moja zuri sana ambalo liliulizwa na binti moja muhanga wa kuachwa na wachumba wapenda ngono kabla ya ndoa. Swali lilitanguliwa na maelezo mafupi kama ifuatavyo.

Binti : Mwalimu, mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27, Nimewahi kuchumbiwa na wanaume 3 kwa nyakati tofauti maishani mwangu. Hao wote niliishia kuachana nao kwa sababu nilikataa kulala nao kabla ya ndoa . Bado sijaolewa hadi sasa. Kwa kuachana na hao wachumba 3 nimekuwa nikisumbuka sana kwa kujiuliza hili swali a mbali ni hili "Je naweza kupata mwanaume ambaye hatanishawishi nifanye naye ngono kabla ya ndoa?"

Mwalimu: Pole sana mpendwa kwa hiyo changamoto. Kiukweli hata kama ungelala nao wangekuacha tu. Kwa kuwa wangekutumia kingono kutimiza tamaa zao kisha wangekukimbia na kukuacha unaumia kihisia kwa kuwa ungekuwa umetumika kingono na kutupwa pasipo kuolewa.

Katika hali yoyote ile, unatakiwa usipunguze kiwango chako cha maadili kwa kukubali kuchezewa na wanaume wasio na maadili walio na tamaa ya kukufanya chombo cha kutimizia tamaa zao tu. Mwanamume anayetaka kukuoa kwa dhati huvutiwa na maadili yako na si vinginevyo.

Swali lako nalijibu hivi : UNAWEZA KUPATA MWANAUME WA KUKUOA AMBAYE HATAKUSHAWISHI UFANYE NAYE MAPENZI KABLA YA NDOA.

Kupitia Mungu utapata Mwanaume wa Kukuoa aliye mkomavu wa maadili. Siku zote, Mungu ni mwaminifu na anaheshimu uaminifu wa mtu mwaminifu. Achana na hofu.Hujachelewa. Tulia na uendelee kukomaa katika maadili na Mungu atakupatia mume mwema.

Mwenza mwema huletwa na BWANA.

Binti : Asante mwalimu kwa kunielewesha na kuwaelewesha wote waliowahi kupata changamoto kama yangu.

Mwalimu :Mbarikiwe nyote.
Huyu binti muongo aligawa papuchi af wana wakamtosa
 
Ikiwa hajawahi kugawa atampata lkn kama si bikira atasubiri sana na ikiwa si bikira acheni hizo za kumdanganya kuwa Mungu atamletea mtu muaminifu ikiwa bikira hakuna.
 
Ngono ni ngono iwe kabla ya ndoa au baada.

Utamu ule ule.
 
Yeye ni bikrA???

Tena km sio bikra asilete ujinga huo kwa wanaume wa kueleweka maana atakula red card chapuuuuuu
Na huyo mkaka kama sio bikira hata wale wanawali 70 wa peponi atawasoma tu ktk aya 😂😂
 
Binti hawezi kufika miaka 27 bila kuonja dushelele

Binti anavunja ungo toka ana miaka 15. Papuchi inaanza kumuwasha.. hana ujanja wa kuvumilia huo muwasho wa papuchi kwa miaka zaidi ya 10.

Lazima tu kuna kidume kitapewa siku moja.

Angalau angekuwa ana miaka 20 ingewezekana awe hajaguswa.

Watu wa kanisani kama wanapenda maadili walipaswa wahimize ndoa za mapema.. binti akifika early 20s tu aolewe fasta ili muwasho wake uwe na mume wa kuutuliza
 
Back
Top Bottom