Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mimi lengo nisuuze rungu tuMnapitaga nao pasipo kuuliza kabikiri nani š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi lengo nisuuze rungu tuMnapitaga nao pasipo kuuliza kabikiri nani š¤£
Utasuuzwa na kaswende kaka, ni heri utulie tu kwa mkeoMimi lengo nisuuze rungu tu
Nipo kwenye kampeni yaUtasuuzwa na kaswende kaka, ni heri utulie tu kwa mkeo
Leo mtakuwa mtaa gani kwa kampeni nije niwasikilize mkuuNipo kwenye kampeni ya
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Mitaa ya humuhumu jfLeo mtakuwa mtaa gani kwa kampeni nije niwasikilize mkuu
Kama ni humu basi hamna hela ya kampeni, Ombeni msaada wa fedha mtachangiwa na hao fans wenu.Mitaa ya humuhumu jf
Huo ni mtazamo wakoMwl anawadanganya.
Nyinyi dawa yenu hua ni kukusikiliza tu unapiga porojo zako weeee ukimaliza nakujibu 'sawa' alafu unaanza tena unapiga mayowee ukija kushtuka asubuhi kumekucha nakunyandua cha asubuhi asubuhi tunaenda kuoga tunaenda makazini. Kazi yangu ni kusikiliza tu sera zako mpya zisizo ishaKwahiyo sisi wenye midomo lkn tuna heshima itakuwaje
Nyinyi dawa yenu hua ni kukusikiliza tu unapiga porojo zako weeee ukimaliza nakujibu 'sawa' alafu unaanza tena unapiga mayowee ukija kushtuka asubuhi kumekucha nakunyandua cha asubuhi asubuhi tunaenda kuoga tunaenda makazini. Kazi yangu ni kusikiliza tu sera zako mpya zisizo isha
Yani unapokua unamwaga sera zako tatanishi utapishana na ndio, sawa, pole sana, ni kweli, kabisa, na maelezo mafupi mafupi mwisho unatulia mwenyewe unaanza kunipa umbea mwingine sasa.Ah sawa tu jamani
Sasa hiyo mbona kama utakuwa unanipuuza?
Huwezi kuwa na mdomo halafu ukawa na heshima...haviendaniKwahiyo sisi wenye midomo lkn tuna heshima itakuwaje
HayaHuwezi kuwa na mdomo halafu ukawa na heshima...haviendani
Very simple na huyo mchumba wa kike asiombe hela hadi baada ya ndoaJumamosi iliyopita tulikuwa na semina kanisani kwetu, semina hiyo iliyohusu mambo ya mahusiano mapenzi hadi ndoa ilichangamsha sana vijana wanaosubiria ndoa, maswali mbalimbali yaliulizwa na wanasemina wa jinsia zote. Miongoni mwa maswali yaliyoulizwa kulikuwa na swali moja zuri sana ambalo liliulizwa na binti moja muhanga wa kuachwa na wachumba wapenda ngono kabla ya ndoa. Swali lilitanguliwa na maelezo mafupi kama ifuatavyo.
Binti : Mwalimu, mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27, Nimewahi kuchumbiwa na wanaume 3 kwa nyakati tofauti maishani mwangu. Hao wote niliishia kuachana nao kwa sababu nilikataa kulala nao kabla ya ndoa . Bado sijaolewa hadi sasa. Kwa kuachana na hao wachumba 3 nimekuwa nikisumbuka sana kwa kujiuliza hili swali a mbali ni hili "Je naweza kupata mwanaume ambaye hatanishawishi nifanye naye ngono kabla ya ndoa?"
Mwalimu: Pole sana mpendwa kwa hiyo changamoto. Kiukweli hata kama ungelala nao wangekuacha tu. Kwa kuwa wangekutumia kingono kutimiza tamaa zao kisha wangekukimbia na kukuacha unaumia kihisia kwa kuwa ungekuwa umetumika kingono na kutupwa pasipo kuolewa.
Katika hali yoyote ile, unatakiwa usipunguze kiwango chako cha maadili kwa kukubali kuchezewa na wanaume wasio na maadili walio na tamaa ya kukufanya chombo cha kutimizia tamaa zao tu. Mwanamume anayetaka kukuoa kwa dhati huvutiwa na maadili yako na si vinginevyo.
Swali lako nalijibu hivi : UNAWEZA KUPATA MWANAUME WA KUKUOA AMBAYE HATAKUSHAWISHI UFANYE NAYE MAPENZI KABLA YA NDOA.
Kupitia Mungu utapata Mwanaume wa Kukuoa aliye mkomavu wa maadili. Siku zote, Mungu ni mwaminifu na anaheshimu uaminifu wa mtu mwaminifu. Achana na hofu.Hujachelewa. Tulia na uendelee kukomaa katika maadili na Mungu atakupatia mume mwema.
Mwenza mwema huletwa na BWANA.
Binti : Asante mwalimu kwa kunielewesha na kuwaelewesha wote waliowahi kupata changamoto kama yangu.
Mwalimu :Mbarikiwe nyote.
Hao wanaoomba hela kabla ya ndoa ni wale walioporomoka kimaadili, hao kugongwa si kitu kwao wanagawa uroda sana tu.Very simple na huyo mchumba wa kike asiombe hela hadi baada ya ndoa
Hata huyo nae atataka hela ya kusuka na mahitaji mengine, hawachelewi kuishiwa kodi, billi za umeme na maji na mengineyo wakijifanya anakupima kama unampenda kweliHao wanaoomba hela kabla ya ndoa ni wale walioporomoka kimaadili, hao kugongwa si kitu kwao wanagawa uroda sana tu.
Ni kweli, Ila nasisitiza wengi wanaoomba hela huwa wako mbali na maadiliHata huyo nae atataka hela ya kusuka na mahitaji mengine
Hii kitu ipo.Ni changamoto sana, unaweza kuoa mwanamke bila kufanya naye mapenzi, matokeo yake mmeingia kwenye ndoa kumbe mwenzako sex drive iko chini kwelikweli. Yaani kufanya mapenzi mpaka umbembeleze wee, na hata akikubali bao moja hataki tena mpaka baada ya wiki. Ni bora mmnyanduane tuu kabla ya ndoa ili ujue kabisa yaliyomo yamo.