Unaweza kupata mwanaume wa kukuoa ambaye hatakushawishi ufanye naye ngono kabla ya ndoa

Unaweza kupata mwanaume wa kukuoa ambaye hatakushawishi ufanye naye ngono kabla ya ndoa

Kumpa ngono mwamaume hakumfanyi wala hakumshawishi akuoe labda umroge, kitakacho mshawishi mwanaume ni tabia yako na akili yako.
Na ndio maana mwanaume anaweza kula mbususi yako zaidi ya miaka 5 lakini bado akakuacha na ukaja kusikia kaenda kumposa binti ambaye hata hajawahi kumtongoza.

Wanaume anaye owa kwa misingi ya ngono ni wanaume mazuzu na ni mshamba wa mapenzi.
Kwa kweli wanaume tuko hivi asilimia [emoji817]
 
Ndoa Haina formula mara nyingi ni kitu kigumu kujua kitakuaje mbeleni.

Kuna ambao walioana bila kusex kabla ya ndoa na wakapata magarasa na ndoa zikafika ukingoni.

Kuna waliooana baada ya kusex sana na na hata wengine kusogezana na ndoa zao zinadumu kwa mafanikio na furaha.

Ndoa ni fumbo ambalo Halina majibu na utatoa tu majibu kutegemea uko wapi na nani ila uhalisia unabaki palepale hakuna formula ya ndoa haipo.

Matatizo ya ndoa yanawakumba watu wote na haitegemei Imani yao zaidi Ili kukutwa na changamoto za ndoa ila namna ya kutatua hizo changamoto ndio inatofautiana.
Kwa wasio wakristo huita matatizo/migogoro ya ndoa.
Kwa wakristo huita majaribu

Matatizo na majaribu ni kitu kilekile ni mtazamo tu

Mungu atujalie hekima ya kutokariri maisha na majibu ya maswali ya maisha.

Ndindilichuma.
 
Kumpa ngono mwamaume hakumfanyi wala hakumshawishi akuoe labda umroge, kitakacho mshawishi mwanaume ni tabia yako na akili yako.
Na ndio maana mwanaume anaweza kula mbususi yako zaidi ya miaka 5 lakini bado akakuacha na ukaja kusikia kaenda kumposa binti ambaye hata hajawahi kumtongoza.

Wanaume anaye owa kwa misingi ya ngono ni wanaume mazuzu na ni mshamba wa mapenzi.
Ndoa ina siri kubwa Na Bahati Bukuku- Hakubahatisha kwenye huo wimbo
 
Back
Top Bottom