Unaweza kupata mwanaume wa kukuoa ambaye hatakushawishi ufanye naye ngono kabla ya ndoa

Kwahiyo sisi wenye midomo lkn tuna heshima itakuwaje
Nyinyi dawa yenu hua ni kukusikiliza tu unapiga porojo zako weeee ukimaliza nakujibu 'sawa' alafu unaanza tena unapiga mayowee ukija kushtuka asubuhi kumekucha nakunyandua cha asubuhi asubuhi tunaenda kuoga tunaenda makazini. Kazi yangu ni kusikiliza tu sera zako mpya zisizo isha
 
Ah sawa tu jamani
Sasa hiyo mbona kama utakuwa unanipuuza?
 
Jamaa watatu na wote wamemuacha sababu hatoi mzigo? Shida iko kwake hapa. Pengine jamaa hawakuona qualities zozote Kwake kustahili hiyo compromise. Ajichunguze mwenyewe shida iko wapi.

Binafsi hata mimi ukiniletea habari za hakuna mzigo kabla ya ndoa, najikataa fasta. Tunaweza kuendana kila eneo, ila tukashindwana faraghani kwa sababu mbali mbali, so ni vizuri kujuana mapema iwezekanavyo. Sexual frustrations zinaleta migogoro na mifarakano kwenye mahusiano.
 
Very simple na huyo mchumba wa kike asiombe hela hadi baada ya ndoa
 
Hao wanaoomba hela kabla ya ndoa ni wale walioporomoka kimaadili, hao kugongwa si kitu kwao wanagawa uroda sana tu.
Hata huyo nae atataka hela ya kusuka na mahitaji mengine, hawachelewi kuishiwa kodi, billi za umeme na maji na mengineyo wakijifanya anakupima kama unampenda kweli
 
Hii kitu ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…