CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
- Thread starter
-
- #21
Ukweli ni upi? ukisha ona ni uongo leta ukweli then mjadala uendelee, na mwishobwa siku ijulikane, sasa uko umelala una type ni uongo na wajinga wenzako wana kusapoti, leta ukweli sasa.HUU UONGO. KILIMO CHA KWENYE MITANDAO. WATU SIKU HIZI WAMEKISHTUKIA HAWAKURUPUKI. HAPA UNATAKA WAPIGA WATU.
1. MBEGU
2. KUJIDAI MTAALAMU
3. USHAURI
SIKU HIZI HATUIBIWI KWA KILIMO CHA KWENYE MITANDAO.
3 hadi sasa, zimepishana umuri sema.We una heka ngapi mheshimiwa?
Hawa sio hata wakulima mkuuu ni wahuni wako offisini huko sasa wao ni kupinga kila kinacho katiza kwao, na si kwamba wana pinga kwa kuonyesha ukweli, hapana, just wanapinga tu basi.Comments zenu zitawafanya watu wasilete mambo mazuri humu
Nani kasema ni mepesi, hata kuuza vitumbua kwani kuna uwepesi? chochote kile kinacho husiana na kutafuta pesa hakina wepesi,Mambo ya kilimo sio mapesi kama unavo eleza hivo, kama mahindi matikiti nanasi bado ni changamoto hata kwenye soko, mpaka vinashuka bei ya hasara , sasa unaongelea Pixie orange kijijini kwenu wangapi wanatumia pixie orange, acha kupotosha watu kwa manifa yako.
Takriban matunda mingi SA haya ladha labda Apple, Zabibu etc basiPia Pixie za South Africa hazina sukari sana sijajua wanazifanyaje au ni wanazichakachua.Ukila hizi localy grown then ule na za South Africa utagundua tofauti kubwa sana kwenye utamu.
Vannila ndio Oranges, ningelera hatavhesabu za mahindi ungesema Vannila. Sasa onyesha ukweli wewe si great thinker?Tulikuwa na vanilla village , naifikiri sasa ni wakati wa kuanzisha Pixie orange village🍊🍊🍊
Ya ni kweli mkuu, hayana radha hasa machungwa yao ni vile watu hawajashitukaTakriban matunda mingi SA haya ladha labda Apple, Zabibu etc basi
Endelea kujifariji, hakuna kitu kisicho kuwa na hasaraz sasa uataonyesha hasara kabla haijatokea? Mwenye bus ata tabili kwamba bus lake litaungua moto lote? si ni hadi itokee hio sasa?Kilimo cha mitandaoni hakina hasara
Wewe unaishi wapi? Uliza na sio kuonyesha upumbavu wako wazi wazi, chungwa za south Africa unajua bei yake? au usha zoea za sh 50 hizo?chungwa bei 100 au 200 yakiadimika, hayo machungwa ya elfu 5, unaenda kumuuzia nani?
Watapeliwe nini kwa mfano? Yaani ni mjinga anaweza tapeliwa, mimi kuna mtu nimewambia alime?Ila watu wa Jamiiforums mna komenti hasi sana.
Inawezekana kweli mna hofu ya kutapeliwa ila jifunzeni kupokea taarifa na kuamua kwa utashi wenu.
Kadri siku zinavyoenda tutakosa hata project za maana toka kwa wataalamu.
Kutapeliwa ni namna tu unapoingizwa kwenye makubaliano yasiyo na tija kwako kwa kuamini yasiyo kweli.
Tuache kuwa hivi, changanya na zako.
Machungwa yetu ni mazuri mno.Hapa ni sawa na Chungwa moja sh 100.
Yale ya kwetu machachu ya Mheza chungwa moja ni 200 hadi 300.
Mkuu Namba hazidanganyi.
Umepiga hesabu Sawa na mtu anayeota ndoto tuu.View attachment 3365333
Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
View attachment 3365329
Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za Muheza Tanga ambazo zile ni chungwa za kuuziana sisi ila hazina ubora wowote kwanza ni chachu sana.
Twende kazi sasa;
1. Hekari moja unaweza otesha pixie orange 200 hadi 250 kwa vipo vya 4×5.
2.Kwenye peak yake yaani ikifika profuction kubwa mti mmoja huzaa machungwa zaidi ya 300 inawezs zaa hadi 500 kwa mchumo wa msimu nzima.
Hesabu za 300 ambao ni za chini kabisa
300 x miti 250 ni 75,000 machungwa.
Pixie haziuzwi kwa mafungu kama yale maxmchungwa yetu zinauzwa kwa kg.
Machungwa 75,000 ni sawa na kilo 7500 kwa wastani wa machunhwa 10 kwa kilo 1 ingawa kiuhakika ni machungwa 8 kwa kilo moja au hata machungwa 7.
Bei ya machungwa ya South Africa huwa ni Tsh 9000 hadi 10,000 kwa kilo 1.
Pixie orange zetu tutauza tsh 5000 kwa kg.
7500 x 5000=37,500,000
Hizo ni hesabu za chini kabisa za kilo Tsh 5000/
NB sasa:
1. Pixie Orange kama zilivyo orange zingine inachagua sana udogo sio kila udongo utalima au hali ya hewa.
2 .Inahitajika uwekezaji hasa kwenye Drip irigation kumwagilia wakati wa kiangazi.
3. Inahitajika uvumilivu ingawa pixie zinazaa mapema miaka 2.8 hadi miaka 3 zinakuwa zisha anza zaaa. kwenye productions kubwa ni mwaka wa 5 na kuendelea.
4.Gharama za kilimo na kuotesha hazipo make inategemeana na mtu na eneo alipo au mahali ulipo hivyo sijaziweka.
Nb: Tukisikia yanauzwa kwa kilo tunashangaaa sana kwa sababu tusha zoea biashara za kijima za kuuziana kwa macho au ndani ya viroba, hizi ni aina za biashara za kijima za enzi za giza.
Wakenya huja kununua vitunguu Tanzania kwa kipimo cha gunia na kule kwao huenda kuuza per kg.
Hata machungwa ya Tanga ni ujinga wa wale wakulima ila wanapaswa wauze kwa kilo na sio kwa macho au mafungu.
Nb: KWa hesabu za mbali sana gharama ya hekari moja bila Drip ni kwenye around milion 3 hadi 5, Drip ndio uwekezaji mkubwa labda uwe na mto hapo shambani kwako.
Umepiga hesabu Sawa na mtu anayeota ndoto tuu.
Ina maana wewe hutaki hizi 37 m? sasa kama unajuabhesabu si ulete za uhakika?
Hawa mawakala sio watu wazuri hata kodogo. Ipo siku watakuja kutulaza njaa taifa zima sababu ya kuendekeza udalali wa mbegu za GMO ambazo mataifa ya magharibi wanafosi sana kutuingizia ili huko mbeleni tukiwaletea fyoko wanakata tu supply ya mbolea na mbegu na madawa tunaanza kufa njaa.vWakaja kuondoa tikiti za asili pia
Wakahamia kwenye maparachichi
Na sasa wamehamia kwenye orange
Kwa ufupi mbegu zote za asili hakuna kwa sasa... So ni rahisi sana kula GMO
GMO haiko hapa ukitaka mkuu mjadala wa GMO anzisha mada yake tujadili, GMO humu inatokea wapi?Hawa mawakala sio watu wazuri hata kodogo. Ipo siku watakuja kutulaza njaa taifa zima sababu ya kuendekeza udalali wa mbegu za GMO ambazo mataifa ya magharibi wanafosi sana kutuingizia ili huko mbeleni tukiwaletea fyoko wanakata tu supply ya mbolea na mbegu na madawa tunaanza kufa njaa.
Lete video au picha ndo nikuamini.3 hadi sasa, zimepishana umuri sema.
.Haya una hoja nyingine?
Ninalima alie kuambia sizitaki ni nani? Naendelea kuongeza mashamba Muheza kule ambajo ndio ukanda namba 1 best kwa machungwaUmepiga hesabu Sawa na mtu anayeota ndoto tuu.
Ina maana wewe hutaki hizi 37 m?