Unaweza kutengeneza zaidi ya Milion 37 kwa hekari 1 kwenye kilimo cha Pixie Oranges

Unaweza kutengeneza zaidi ya Milion 37 kwa hekari 1 kwenye kilimo cha Pixie Oranges

Sasa unaongelea Pixie orange kijijini kwenu wangapi wanatumia pixie orange, acha kupotosha watu kwa manifa yako.
Acha makasiriko, hiyo ni taarifa ame share, kuna wengi walikua hawajui kama kunakitu kama hicho, huo upotoshaji ukowapi hapo, hii ni forum.
 
Wengi ambao wanajifanya wajuaji humu unaweza kuta hata hiyo pesa ya kutapeliwa hana.
Na huu ndo ukweli wenyewe.

Mtu anaishi Kwa kupanga kwenye nyumba ya mwanaume mwenzake hana hata kiwanja aseme ataacha urithi akifa ni kama kuku .

Leo wataalamu wakileta Uzi wa kumtoa magetoni ndo wa kwanza kupinga. Watu wakuwaonea huruma hawa
 
Kilo 1 pixie ina machungwa kama 8 sasa 5 kwa tsh 5000 kuna gap? Pixie 1 ni kama sh 500 ingawa kiuhalisia ni sh 8000 hadi 900 bei ya chungwa moja. Nimepigia bei ya chini ya machungwa ya South Africa ambayo kilo ni around 10,000
Tukizungumzia uzito hata chungwa la dar es salaam matunda 7 yanazidi kilo 1 ..... Achilia mbali ya Tanga au Moshi na Arusha huko.... Issue ni kwamba tunajipendekeza kuwa matapeli. NENDA SOUTH AFRICA AU EGYPT CHUKUA MBEGU UJE UOTESHE, UTAPATA MACHUNGWA BORA KULIKO HATA YA KWAO.... Lakini tafuta Hilo soko kama hujawa chizi.... MATAPELI HUANZIA MBALI SANA.
 
Na huu ndo ukweli wenyewe.

Mtu anaishi Kwa kupanga kwenye nyumba ya mwanaume mwenzake hana hata kiwanja aseme ataacha urithi akifa ni kama kuku .

Leo wataalamu wakileta Uzi wa kumtoa magetoni ndo wa kwanza kupinga. Watu wakuwaonea huruma hawa
Sasa unataka mtu asiye na kitu akalime wapi hayo machungwa.... HUYU MTAALAMU ALIYELETA HII MADA YEYE AMELIMA WAPI NA ANA NINI CHA KUTHIBITISHA . Wewe ni wale ukishatapeliwa unakuja hapa kuanza kushauri na kuelezea namna ulivyopigwa ..... Acha watu waelewe wanavuoelewa. HAYA, WEWE NENDA KALIME UTULETEE MREJESHO BAADA YA MIAKA 3.
 
Inasikitisha kuona Kuna watu Wana mawazo hasi namna hii tunashida kubwa sana sisi kama wa Tz.

Kama wewe ni mpenzi na mdau wa kilimo kwenye jukwaa hili Mr CHASHA FARMING amekuwa akishare hapa vitu vingi sana na kitu inspire watu wengi mno na hakuna mtu yeyote amewahi kumtuhumu humu kuwa kamuibia hata jero lake Mimi humu jf Nipo tangu 2013!

Hii inakuwaje mazee? Niwaombe sana ndg zangu kama wewe unahisi huu ni utapeli tuachie sisi tutapeliwe maana mnaboa sana na kuvunja moyo watu kama Hawa wanajitoa kutupa elimu.
 
Sawa
 
M

Mkuu humu kumejaaa watu wapumbavu, nitashuli Mexine meo atutengenezee sub forum ya mijadala ya kilimo na huko wajinga hawataruhusiwa kamwe
Mkuu Miche ya pixie inapatikana wapi?

Vipi Kwa maeneo ya Nje na Taga kama Katavi na morogoro wapi zinaweza ku survive ?

Gharama ya mche mmoja ni sh ngapi ahsantee.

NB: Achana na watu wenye mtazamo finyu wasio na hoja na wengi wao hata kula Hilo tunda hawajawahi kula!
 
View attachment 3365333

Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
View attachment 3365329

Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za Muheza Tanga ambazo zile ni chungwa za kuuziana sisi ila hazina ubora wowote kwanza ni chachu sana.

Twende kazi sasa;

1. Hekari moja unaweza otesha pixie orange 200 hadi 250 kwa vipo vya 4×5.

2.Kwenye peak yake yaani ikifika profuction kubwa mti mmoja huzaa machungwa zaidi ya 300 inawezs zaa hadi 500 kwa mchumo wa msimu nzima.

Hesabu za 300 ambao ni za chini kabisa
300 x miti 250 ni 75,000 machungwa.

Pixie haziuzwi kwa mafungu kama yale maxmchungwa yetu zinauzwa kwa kg.
Machungwa 75,000 ni sawa na kilo 7500 kwa wastani wa machunhwa 10 kwa kilo 1 ingawa kiuhakika ni machungwa 8 kwa kilo moja au hata machungwa 7.

Bei ya machungwa ya South Africa huwa ni Tsh 9000 hadi 10,000 kwa kilo 1.

Pixie orange zetu tutauza tsh 5000 kwa kg.

7500 x 5000=37,500,000
Hizo ni hesabu za chini kabisa za kilo Tsh 5000/

NB sasa:
1. Pixie Orange kama zilivyo orange zingine inachagua sana udogo sio kila udongo utalima au hali ya hewa.

2 .Inahitajika uwekezaji hasa kwenye Drip irigation kumwagilia wakati wa kiangazi.
3. Inahitajika uvumilivu ingawa pixie zinazaa mapema miaka 2.8 hadi miaka 3 zinakuwa zisha anza zaaa. kwenye productions kubwa ni mwaka wa 5 na kuendelea.
4.Gharama za kilimo na kuotesha hazipo make inategemeana na mtu na eneo alipo au mahali ulipo hivyo sijaziweka.

Nb: Tukisikia yanauzwa kwa kilo tunashangaaa sana kwa sababu tusha zoea biashara za kijima za kuuziana kwa macho au ndani ya viroba, hizi ni aina za biashara za kijima za enzi za giza.

Wakenya huja kununua vitunguu Tanzania kwa kipimo cha gunia na kule kwao huenda kuuza per kg.

Hata machungwa ya Tanga ni ujinga wa wale wakulima ila wanapaswa wauze kwa kilo na sio kwa macho au mafungu.

Nb: KWa hesabu za mbali sana gharama ya hekari moja bila Drip ni kwenye around milion 3 hadi 5, Drip ndio uwekezaji mkubwa labda uwe na mto hapo shambani kwako.
Uko sahihi kabisa mkuu...
Sasa ingia shambani uone mziki wake....
 
Inasikitisha kuona Kuna watu Wana mawazo hasi namna hii tunashida kubwa sana sisi kama wa Tz.

Kama wewe ni mpenzi na mdau wa kilimo kwenye jukwaa hili Mr CHASHA FARMING amekuwa akishare hapa vitu vingi sana na kitu inspire watu wengi mno na hakuna mtu yeyote amewahi kumtuhumu humu kuwa kamuibia hata jero lake Mimi humu jf Nipo tangu 2013!

Hii inakuwaje mazee? Niwaombe sana ndg zangu kama wewe unahisi huu ni utapeli tuachie sisi tutapeliwe maana mnaboa sana na kuvunja moyo watu kama Hawa wanajitoa kutupa elimu.

Unazania kwq nini Wazungu wanakuja na Lapotop pekee na wanaondoka na pesa? ni kwa sababu ya ujinga kama huu,
Watu wanataka Mada za Yanga na SImba tu
 
Swala la ni je hatuagizi nje? na je kwa nini hatulimi? au kulima ni utapeli?
 
Tukizungumzia uzito hata chungwa la dar es salaam matunda 7 yanazidi kilo 1 ..... Achilia mbali ya Tanga au Moshi na Arusha huko.... Issue ni kwamba tunajipendekeza kuwa matapeli. NENDA SOUTH AFRICA AU EGYPT CHUKUA MBEGU UJE UOTESHE, UTAPATA MACHUNGWA BORA KULIKO HATA YA KWAO.... Lakini tafuta Hilo soko kama hujawa chizi.... MATAPELI HUANZIA MBALI SANA.
Ni ajenda tu hizo za kuua mbegu za asili, vijana wataingia kibao kwenye kuzalisha hayo machungwa na hayatakuwa na soko, mwisho wake ndio yanakuja kusambaa mtaani na tunayasahau yale ya Tanga ama pwani

Rejea ishu ya Matikiti
 
Mbegu za sili ni zipi? mahindi yaliletwa kutoka Mexco kwa mfano, Machungwa yote yaliletwa, mbegu za asili ni zipi unazungumzia? na wewe unajiita umeenda shule?
 
Ni kitu gani sasa kirahisi cha sisi Watanzanua cha kufanya? kufanya Betting? make kila kitu ni hakiwezekani, kuna ugumu wake kipi kina wezekana?
 
Mbegu za sili ni zipi? mahindi yaliletwa kutoka Mexco kwa mfano, Machungwa yote yaliletwa, mbegu za asili ni zipi unazungumzia? na wewe unajiita umeenda shule?
Hapana sijaenda shule, nimesoma chini ya mwembe
 
Ni ajenda tu hizo za kuua mbegu za asili, vijana wataingia kibao kwenye kuzalisha hayo machungwa na hayatakuwa na soko, mwisho wake ndio yanakuja kusambaa mtaani na tunayasahau yale ya Tanga ama pwani

Rejea ishu ya Matikiti
Mkuu huu urigidi ndio unafanya Wageni wachekelee na kupiga makodi, kwa akili kama hizi wacha waendelee kuchuma Tanzania hii sisi tutafute ajira maofisini.
 
Back
Top Bottom