Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,485
Mbona hiyo bei ukipiga hesabu za machungwa yetu porini Tanga unapigwa gepu sana? Maana hapo chungwa 1 ni 100 wakati ya porini Tanga ni 300....
Umepiga hesabu Sawa na mtu anayeota ndoto tuu.
Ina maana wewe hutaki hizi 37 m?
Ikusaidie nini vile? we ni Hakimu au Pilixe au nani vile? njoo nikupeleke shambani na utalipia ukitaka nemba sema nikupe hakuna cha kufichaLete video au picha ndo nikuamini.
Kilo 1 pixie ina machungwa kama 8 sasa 5 kwa tsh 5000 kuna gap? Pixie 1 ni kama sh 500 ingawa kiuhalisia ni sh 8000 hadi 900 bei ya chungwa moja. Nimepigia bei ya chini ya machungwa ya South Africa ambayo kilo ni around 10,000Mbona hiyo bei ukipiga hesabu za machungwa yetu porini Tanga unapigwa gepu sana? Maana hapo chungwa 1 ni 100 wakati ya porini Tanga ni 300....
Weka picha hapa usipoweka basi we ni tapeli.Ikusaidie nini vile? we ni Hakimu au Pilixe au nani vile? njoo nikupeleke shambani na utalipia ukitaka nemba sema nikupe hakuna cha kuficha
Ndugu zetu wakulima wa Tanga kaeni chini na mleta mada mmalize tofauti zenu.View attachment 3365333
Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
View attachment 3365329
Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za Muheza Tanga ambazo zile ni chungwa za kuuziana sisi ila hazina ubora wowote kwanza ni chachu sana.
Twende kazi sasa;
1. Hekari moja unaweza otesha pixie orange 200 hadi 250 kwa vipo vya 4×5.
2.Kwenye peak yake yaani ikifika profuction kubwa mti mmoja huzaa machungwa zaidi ya 300 inawezs zaa hadi 500 kwa mchumo wa msimu nzima.
Hesabu za 300 ambao ni za chini kabisa
300 x miti 250 ni 75,000 machungwa.
Pixie haziuzwi kwa mafungu kama yale maxmchungwa yetu zinauzwa kwa kg.
Machungwa 75,000 ni sawa na kilo 7500 kwa wastani wa machunhwa 10 kwa kilo 1 ingawa kiuhakika ni machungwa 8 kwa kilo moja au hata machungwa 7.
Bei ya machungwa ya South Africa huwa ni Tsh 9000 hadi 10,000 kwa kilo 1.
Pixie orange zetu tutauza tsh 5000 kwa kg.
7500 x 5000=37,500,000
Hizo ni hesabu za chini kabisa za kilo Tsh 5000/
NB sasa:
1. Pixie Orange kama zilivyo orange zingine inachagua sana udogo sio kila udongo utalima au hali ya hewa.
2 .Inahitajika uwekezaji hasa kwenye Drip irigation kumwagilia wakati wa kiangazi.
3. Inahitajika uvumilivu ingawa pixie zinazaa mapema miaka 2.8 hadi miaka 3 zinakuwa zisha anza zaaa. kwenye productions kubwa ni mwaka wa 5 na kuendelea.
4.Gharama za kilimo na kuotesha hazipo make inategemeana na mtu na eneo alipo au mahali ulipo hivyo sijaziweka.
Nb: Tukisikia yanauzwa kwa kilo tunashangaaa sana kwa sababu tusha zoea biashara za kijima za kuuziana kwa macho au ndani ya viroba, hizi ni aina za biashara za kijima za enzi za giza.
Wakenya huja kununua vitunguu Tanzania kwa kipimo cha gunia na kule kwao huenda kuuza per kg.
Hata machungwa ya Tanga ni ujinga wa wale wakulima ila wanapaswa wauze kwa kilo na sio kwa macho au mafungu.
Nb: KWa hesabu za mbali sana gharama ya hekari moja bila Drip ni kwenye around milion 3 hadi 5, Drip ndio uwekezaji mkubwa labda uwe na mto hapo shambani kwako.
Punguza ujuaji naona una mambo ya kibinafisi na mleta madaHUU UONGO. KILIMO CHA KWENYE MITANDAO. WATU SIKU HIZI WAMEKISHTUKIA HAWAKURUPUKI. HAPA UNATAKA WAPIGA WATU.
1. MBEGU
2. KUJIDAI MTAALAMU
3. USHAURI
SIKU HIZI HATUIBIWI KWA KILIMO CHA KWENYE MITANDAO.
Kaleta hoja jadili hoja yake mashamba yake yanakuhusu nini wewe?We una heka ngapi mheshimiwa?
Nimekuuliza wewe?Kaleta hoja jadili hoja yake mashamba yake yanakuhusu nini wewe?
Nimekuuliza wewe?
Machungwa za Africa kusini ni ghari sana fanya utafitiMbona hiyo bei ukipiga hesabu za machungwa yetu porini Tanga unapigwa gepu sana? Maana hapo chungwa 1 ni 100 wakati ya porini Tanga ni 300....
Hawa waletee mada za yanga na Simba au Diamond au Alikiba ndio mambo wanajua, haya ni mambo magumu sana na ona sasa wanavyo tukana.View attachment 3365333
Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
View attachment 3365329
Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za Muheza Tanga ambazo zile ni chungwa za kuuziana sisi ila hazina ubora wowote kwanza ni chachu sana.
Twende kazi sasa;
1. Hekari moja unaweza otesha pixie orange 200 hadi 250 kwa vipo vya 4×5.
2.Kwenye peak yake yaani ikifika profuction kubwa mti mmoja huzaa machungwa zaidi ya 300 inawezs zaa hadi 500 kwa mchumo wa msimu nzima.
Hesabu za 300 ambao ni za chini kabisa
300 x miti 250 ni 75,000 machungwa.
Pixie haziuzwi kwa mafungu kama yale maxmchungwa yetu zinauzwa kwa kg.
Machungwa 75,000 ni sawa na kilo 7500 kwa wastani wa machunhwa 10 kwa kilo 1 ingawa kiuhakika ni machungwa 8 kwa kilo moja au hata machungwa 7.
Bei ya machungwa ya South Africa huwa ni Tsh 9000 hadi 10,000 kwa kilo 1.
Pixie orange zetu tutauza tsh 5000 kwa kg.
7500 x 5000=37,500,000
Hizo ni hesabu za chini kabisa za kilo Tsh 5000/
NB sasa:
1. Pixie Orange kama zilivyo orange zingine inachagua sana udogo sio kila udongo utalima au hali ya hewa.
2 .Inahitajika uwekezaji hasa kwenye Drip irigation kumwagilia wakati wa kiangazi.
3. Inahitajika uvumilivu ingawa pixie zinazaa mapema miaka 2.8 hadi miaka 3 zinakuwa zisha anza zaaa. kwenye productions kubwa ni mwaka wa 5 na kuendelea.
4.Gharama za kilimo na kuotesha hazipo make inategemeana na mtu na eneo alipo au mahali ulipo hivyo sijaziweka.
Nb: Tukisikia yanauzwa kwa kilo tunashangaaa sana kwa sababu tusha zoea biashara za kijima za kuuziana kwa macho au ndani ya viroba, hizi ni aina za biashara za kijima za enzi za giza.
Wakenya huja kununua vitunguu Tanzania kwa kipimo cha gunia na kule kwao huenda kuuza per kg.
Hata machungwa ya Tanga ni ujinga wa wale wakulima ila wanapaswa wauze kwa kilo na sio kwa macho au mafungu.
Nb: KWa hesabu za mbali sana gharama ya hekari moja bila Drip ni kwenye around milion 3 hadi 5, Drip ndio uwekezaji mkubwa labda uwe na mto hapo shambani kwako.
HUU UONGO. KILIMO CHA KWENYE MITANDAO. WATU SIKU HIZI WAMEKISHTUKIA HAWAKURUPUKI. HAPA UNATAKA WAPIGA WATU.
1. MBEGU
2. KUJIDAI MTAALAMU
3. USHAURI
SIKU HIZI HATUIBIWI KWA KILIMO CHA KWENYE MITANDAO.
Maeneo hasa yenye jua kari la muda mrefu sana na udongo wa Back cotton wanaita, udongo wa kichanga haufai kabisa, na pia maeneo yote ya baris8 hayafai hata kidogo.Maswali yangu ni haya;
Ni maeneo yepi machungwa yanakubali kibiashara mbali na Tanga?
Ni kweli machungwa yanayo uzwa super Market yanatoka nje ya nchi sasa je tufanyeje? tuna mashamba yamekaa tu.
Kama haitakuwa kuuzwa kwa kilo zipi hesabu ambazo sio za kilo? kwa mafungu mfano
Yanakomaaa kwa muda upi?
Risk zake ni zipi? kwa sababu hujazitaja kabisa
Ni hayo tu
kabisaHawa waletee mada za yanga na Simba au Diamond au Alikiba ndio mambo wanajua, haya ni mambo magumu sana na ona sasa wanavyo tukana.
Mkuu hii ndio reflection yetu hata mtaani au Bungeni ni hivyo hivyo ukiingia kwenye Tv au stationa ni hivyo hivyo, watu hatutaki mawazo mbadala tunataka mada za kijinga jinga tupu.Wanajamii forum sometimes tupunguze ujuaji.
Mimi sijaona mleta mada mahali popote amezungumza habari za utapeli.
Kuna nyuzi maelfu kwenye jukwaa la kilimo wamezungumza mada kibao kuhusu kilimo ufugaji na watu wamekuwa wakijifunza mbinu tofauti tofauti.
Kuna mada nzuri sana humu nimekuwa nikijifunza kuhusu ufugaji kuku nguruwe na ngombe wa maziwa kwakweli zinaelimisha sana.
Wengi ambao wanajifanya wajuaji humu unaweza kuta hata hiyo pesa ya kutapeliwa hana.
Mkuu nikuulize maswali machache,Mmeona kwenye Vanilla watu walishtuka
Sawa sawaMaeneo hasa yenye jua kari la muda mrefu sana na udongo wa Back cotton wanaita, udongo wa kichanga haufai kabisa, na pia maeneo yote ya baris8 hayafai hata kidogo.
Ni kweli machungwa yanayo uzwa super market yanatokea nje ila sasa ukitoa idea angali sasa watu, yaani tunapinga na ukweli. Inasitisha sana.
Risk zipo kama magonjwa, kiangazi ndio maana umwagiliaji ni muhimu sana. Hesabu za mafungu sina uzoefu nazo na mimi nimeleta hesabu za kisasa za kilo.
Wengine ni vinyozi wazuri wazuri kile chuo kisharogwa zamani sanaChuo kikuu cha Sokoine morogoro hakiwezi kuwa na kufanya miradi kama hii kama shamba darasa au kwa ajili ya biashara? Au elimu zao ni kwenye makaratasi na kutengeneza GPA Kali tu? Nimeona asilimia kubwa ya wataalamu kutoka SUA wana ajiriwa sana kwenye bank.