1. Kware ni biashara kubwa sana mkuu narudua kusema tuna akili za kijinga sana sio bure wanao faidi hili Taifa ni wageni.
2.Kuku ni biashara kwani watu hawafugi? hii ya Mr kuku alitapeli wajinga, but kuku ukifuga huuzi? kule kitunda wana fuga Panya? au
3.Vannila ni zao lipo Duniani mkuu, usilinganishe kutapeliwa na zao lenyewe, Vannila ipo na inasoko hilo halina ubishi,
4. Matikitiki maji yanawezaje kuwa ni utapeli? Hahaaa aiseee.
5. Kwamba vitunguu wanavyo lima kule Mang'ora Katatu ni utapeli na hakuna kitu kima hicho?
Hahaaa aisee ila sisi Wabongo Mungu atusaiide unazania kwa nini Wachina wamejazana Tanzania na sio kwingineneko? Nairobi ni jiji la kibiashara ila hakuna wachina kama Dar unazania kwa nini?