Unaweza kutengeneza zaidi ya Milion 37 kwa hekari 1 kwenye kilimo cha Pixie Oranges

Mbona hiyo bei ukipiga hesabu za machungwa yetu porini Tanga unapigwa gepu sana? Maana hapo chungwa 1 ni 100 wakati ya porini Tanga ni 300....
 
Mbona hiyo bei ukipiga hesabu za machungwa yetu porini Tanga unapigwa gepu sana? Maana hapo chungwa 1 ni 100 wakati ya porini Tanga ni 300....
Kilo 1 pixie ina machungwa kama 8 sasa 5 kwa tsh 5000 kuna gap? Pixie 1 ni kama sh 500 ingawa kiuhalisia ni sh 8000 hadi 900 bei ya chungwa moja. Nimepigia bei ya chini ya machungwa ya South Africa ambayo kilo ni around 10,000
 
Wanajamii forum sometimes tupunguze ujuaji.
Mimi sijaona mleta mada mahali popote amezungumza habari za utapeli.
Kuna nyuzi maelfu kwenye jukwaa la kilimo wamezungumza mada kibao kuhusu kilimo ufugaji na watu wamekuwa wakijifunza mbinu tofauti tofauti.
Kuna mada nzuri sana humu nimekuwa nikijifunza kuhusu ufugaji kuku nguruwe na ngombe wa maziwa kwakweli zinaelimisha sana.
Wengi ambao wanajifanya wajuaji humu unaweza kuta hata hiyo pesa ya kutapeliwa hana.
 
Ndugu zetu wakulima wa Tanga kaeni chini na mleta mada mmalize tofauti zenu.
 
HUU UONGO. KILIMO CHA KWENYE MITANDAO. WATU SIKU HIZI WAMEKISHTUKIA HAWAKURUPUKI. HAPA UNATAKA WAPIGA WATU.
1. MBEGU
2. KUJIDAI MTAALAMU
3. USHAURI

SIKU HIZI HATUIBIWI KWA KILIMO CHA KWENYE MITANDAO.
Punguza ujuaji naona una mambo ya kibinafisi na mleta mada
 
Nimekuuliza wewe?

Jenga hoja kiume sasa shamba yake inakuhusu nini? Punguza ujuaji huwezi kujenga hoja kaaa kimya make kujega hoja kwa Watanzania wengi ni shughuri pevu sana.
 
Mbona hiyo bei ukipiga hesabu za machungwa yetu porini Tanga unapigwa gepu sana? Maana hapo chungwa 1 ni 100 wakati ya porini Tanga ni 300....
Machungwa za Africa kusini ni ghari sana fanya utafiti
 
Hawa waletee mada za yanga na Simba au Diamond au Alikiba ndio mambo wanajua, haya ni mambo magumu sana na ona sasa wanavyo tukana.
 
Maswali yangu ni haya;
Ni maeneo yepi machungwa yanakubali kibiashara mbali na Tanga?

Ni kweli machungwa yanayo uzwa super Market yanatoka nje ya nchi sasa je tufanyeje? tuna mashamba yamekaa tu.

Kama haitakuwa kuuzwa kwa kilo zipi hesabu ambazo sio za kilo? kwa mafungu mfano

Yanakomaaa kwa muda upi?

Risk zake ni zipi? kwa sababu hujazitaja kabisa

Ni hayo tu
 
Maeneo hasa yenye jua kari la muda mrefu sana na udongo wa Back cotton wanaita, udongo wa kichanga haufai kabisa, na pia maeneo yote ya baris8 hayafai hata kidogo.

Ni kweli machungwa yanayo uzwa super market yanatokea nje ila sasa ukitoa idea angali sasa watu, yaani tunapinga na ukweli. Inasitisha sana.

Risk zipo kama magonjwa, kiangazi ndio maana umwagiliaji ni muhimu sana. Hesabu za mafungu sina uzoefu nazo na mimi nimeleta hesabu za kisasa za kilo.
 
Mkuu hii ndio reflection yetu hata mtaani au Bungeni ni hivyo hivyo ukiingia kwenye Tv au stationa ni hivyo hivyo, watu hatutaki mawazo mbadala tunataka mada za kijinga jinga tupu.

Ukileta idea unaanza kushambuliwa vikari sana sio kwa hoja
 
Mmeona kwenye Vanilla watu walishtuka
Mkuu nikuulize maswali machache,

1. Ni uongo Pixie zinazo uzwa Tanzania hazitoki nje? Hibu hili pekee yake mengine achana nayo.


Vannila na Pixie wapi na wapi? haya ni machungwa full chakula
 
Sawa sawa
 
Wengine ni vinyozi wazuri wazuri kile chuo kisharogwa zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…