CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
- Thread starter
-
- #81
Kuna kitu rahisi? hebu kitaje, Kwa akili hizi ni kwa nini wageni wasiifaidi hii Bongo? kama haya ndio mawazo yetu basi wacha wafaidike tu.Uko sahihi kabisa mkuu...
Sasa ingia shambani uone mziki wake....
Hakika acha tu waendelee kupiga pesaMkuu huu urigidi ndio unafanya Wageni wachekelee na kupiga makodi, kwa akili kama hizi wacha waendelee kuchuma Tanzania hii sisi tutafute ajira maofisini.
Unaweza otesha miche ya limao yaani ukaotesha mbegu za limao na baadae hio miche sasa unapata vikonyo vya Pixie unaanga juu yake ndivyo tunavyo fanya.Mkuu Miche ya pixie inapatikana wapi?
Vipi Kwa maeneo ya Nje na Taga kama Katavi na morogoro wapi zinaweza ku survive ?
Gharama ya mche mmoja ni sh ngapi ahsantee.
NB: Achana na watu wenye mtazamo finyu wasio na hoja na wengi wao hata kula Hilo tunda hawajawahi kula!
1. Kware ni biashara kubwa sana mkuu narudua kusema tuna akili za kijinga sana sio bure wanao faidi hili Taifa ni wageni.watu tumeshaumizwa sana humu, hata ukileta jambo la ukweli lazima ukimbizwe..
-kware
-sungura
-mr kuku
-vanilla
-matikiti
-vitunguu maji
Jana Kuna jamaa kaniletea mchongo wa mamilion yaliyojificha kwenye kilimo cha tangawizi.
Sawa nenda katajirike peke yako1. Kware ni biashara kubwa sana mkuu narudua kusema tuna akili za kijinga sana sio bure wanao faidi hili Taifa ni wageni.
2.Kuku ni biashara kwani watu hawafugi? hii ya Mr kuku alitapeli wajinga, but kuku ukifuga huuzi? kule kitunda wana fuga Panya? au
3.Vannila ni zao lipo Duniani mkuu, usilinganishe kutapeliwa na zao lenyewe, Vannila ipo na inasoko hilo halina ubishi,
4. Matikitiki maji yanawezaje kuwa ni utapeli? Hahaaa aiseee.
5. Kwamba vitunguu wanavyo lima kule Mang'ora Katatu ni utapeli na hakuna kitu kima hicho?
Hahaaa aisee ila sisi Wabongo Mungu atusaiide unazania kwa nini Wachina wamejazana Tanzania na sio kwingineneko? Nairobi ni jiji la kibiashara ila hakuna wachina kama Dar unazania kwa nini?
We ni mjinga kubali kwanzaSawa nenda katajirike peke yako
watu tumeshaumizwa sana humu, hata ukileta jambo la ukweli lazima ukimbizwe..
-kware
-sungura
-mr kuku
-vanilla
-matikiti
-vitunguu maji
Jana Kuna jamaa kaniletea mchongo wa mamilion yaliyojificha kwenye kilimo cha tangawizi.
unasema Vitunguu ni utapel, utapeli gani? so sokoni huko kinacho onekana ni mawe? Masokoni hakuna tikitiki maji?Sawa nenda katajirike peke yako
Mbona hasira nyingi mkuu unaharibu uzi wako, unaniona myongee sio. Soma vizuri posti yangu la sivyo wewe ni MWIZIunasema Vitunguu ni utapel, utapeli gani? so sokoni huko kinacho onekana ni mawe? Masokoni hakuna tikitiki maji?
Nenda basi kabett
Hakuna mtu aliyejitoa kama wewe kuelimisha kwenye hili jukwaa hilo halina ubishi. Umekuwa sio mchoyo wa elimu na kujaribu kusanua watu hilo linathibitishwa na idadi ya mada ulizoanzisha hapa kwa miaka mingi tu. Binafsi nakukubali na nimejifunza mengi tu kupita kwako.1. Kware ni biashara kubwa sana mkuu narudua kusema tuna akili za kijinga sana sio bure wanao faidi hili Taifa ni wageni.
2.Kuku ni biashara kwani watu hawafugi? hii ya Mr kuku alitapeli wajinga, but kuku ukifuga huuzi? kule kitunda wana fuga Panya? au
3.Vannila ni zao lipo Duniani mkuu, usilinganishe kutapeliwa na zao lenyewe, Vannila ipo na inasoko hilo halina ubishi,
4. Matikitiki maji yanawezaje kuwa ni utapeli? Hahaaa aiseee.
5. Kwamba vitunguu wanavyo lima kule Mang'ora Katatu ni utapeli na hakuna kitu kima hicho?
Hahaaa aisee ila sisi Wabongo Mungu atusaiide unazania kwa nini Wachina wamejazana Tanzania na sio kwingineneko? Nairobi ni jiji la kibiashara ila hakuna wachina kama Dar unazania kwa nini?
Huyo uliemtaja ni nani?nitashuli Mexine meo
nina Bluetick, sijui kwanza kama unajua maana yake,Mbona hasira nyingi mkuu unaharibu uzi wako, unaniona myongee sio. Soma vizuri posti yangu la sivyo wewe ni MWIZI
Wenzako walikuwa wamesajili brellanina Bluetick, sijui kwanza kama unajua maana yake,