Unaweza kutengeneza zaidi ya Milion 37 kwa hekari 1 kwenye kilimo cha Pixie Oranges

Mkuu haya matunda yanastawi vizuri maeneo gani?

Mi nataka nipande ya kula tu shambani
 
K

Watapeliwe nini kwa mfano? Yaani ni mjinga anaweza tapeliwa, mimi kuna mtu nimewambia alime?
Mkuu Mimi nikiri kuwa huwa nazifuatilia Sana nyuzi na comment zako,hakika wewe ni mtaalamu haswa. Watanzania wengi elimu hawana hata kama wamepita shule.
Ukiangalia comments kwenye huu uzi ndio utagundua tuna wajinga wengi Sana. Tatizo la hii nchi ni kuwa na mavyakula mengi ya kutosha....imewafanya watu hawawazi nje ya box.
So pathetic.
 
Shibe ni mwana malevya kwa watanzania walio wengi.
Wanachojua watz wengi ni kurundika mavyakula stoo lakini sio kujiinua kiuchumi.
 
unalima vizuri

unavuna vizuri

then hao wanunuzi sasa,wanakimbia au wanaleta usenge wa kukopa

sanaa tupu

ndio maana hakunaga mtu ana time na nyie
 
haya machungwa kwa tanzania nitauzia wapi na trend ya soko lake lipoje? Mimi ninahamasika kuzilima
 
Kilimo Biashara bila GMO, hupati faida.
Wakulima badilikeni
 
Inawezekana kabisa ukawa upo sahihi……… Tatizo ni kwamba andiko lako halina tofauti yoyote na waliokuja na kilimo cha pilipili, Vanilla, ufugaji wa Kwale, Sungura nk nk. Watu akanunua miche madawa na utalaamu kwa bei ghali sana kisha wakakosa wa kumuuzia
 
Watanganyika tunapenda kupinga kila kitu, tunaamini tu vitu vya wazungu ama Wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…