Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.
Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao mtawaita wasioamini ila wao wasichoamini ni kwamba hakuna Mungu ila vidole vyao vinafanya kazi za kuwalisha, kuwavisha, kuwalinda, n.k.
Na kipimo cha imani huwa ni pale mtu anavyopevuka akili akiwa mtu mzima, Utotoni aliamini kwa asilimia kubwa ikiwa ni influence ya imani ya wazazi / walezi, kwamba kama baba anaabudu mizimu, ukristo, uislam, uhindu, n.k. basi na watoto atawaamulia wafuate nyayo zake katika imani.
Mtu haamini ukristo, ataachwa aamini chochote kwasababu huwezi kumlazimisha mtu imani, imani ipo kwenye roho na sio kwenye mwili, ukimlazimisha atasema kwa mdomo anaamini lakini moyoni ni tofauti kabisa, ina faida gani ?
ukihama ukristo sanasana unakosa tu zile huduma za kidhehebu kama kuzikwa kwa mujibu wa taratibu zao, mtu aliyehama imani yafaa zaidi azikwe kwa taratibu za imani aliyohamia. ila hawakudhuru wala kukupa hata kofi wala vitisho, Ni kweli kuna baadhi ya wakristo wakibadili dini hutengwa lakini ikitokea hivyo tayari ni kukiuka misingi ya dini, huwezi kumlazimisha mtu aamini asichoamini.
Shughuli ni pevu sana kwenye uislam
Quran imeweka wazi kwamba mtu akiwa muislam haruhusiwi kuhama dini na kuna adhabu kali akihama, nchi zilizojaa waislam waweza kuuawa, kutengwa, kuabishwa, kufungwa, n.k. Wapo waislam wengi hawaamini lakini wanaogopa kubadili dini, wanaofanikiwa kuhama nchi ndio wanaweza kubadili dinI, Nchi kama Saudi Arabia inafuata sheria za kiislam na kwenye katiba yao ya nchi kuna sheria ya kuua muislam anaebadali dini, Unadhani nani atadiriki kutamka kubadili dini ?,
Kuna mistari kibao inashinikiza kunyanyasa hat kuua wanaobadili dini ama wenye dini zingine, michache ni kama Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini
Nchi ambazo ni dola za kiislam zinaminya uhuru wa dini zingine kuabudu, wanataka watu wabudu uislam tu, na ikitokea umekosoa uislam unapewa kesi ya blasphemny, Majuzi tu hapo Palistan kuna baba kapigwa sana nusu afe kwa kuikosoa Quran na kupewa kesi ya Blasphemny, Lakini ni kawaida sana kwa waislam kuukosoa ukristo