Unaweza lazimisha mwili kutenda lakini huwezi kulazimisha Imani, Kwanini uislam unalazimisha imani ?

We unakaa mkoa gani ? kaangalie tu ndoa ya mkatoliki na msabato ndio utajua kimbembe , mpaka maiti watu wanasusia unasema kupigwa kofi
Mbona wasabato kibao wameoa wakatoliki na kuolewa nao
 
We unakaa mkoa gani ? kaangalie tu ndoa ya mkatoliki na msabato ndio utajua kimbembe , mpaka maiti watu wanasusia unasema kupigwa kofi
Niambie wapi uliona mkatoliki akidhuriwa kisa kuhama dhehebu au imani,?.

Kitu ambacho unachanganya, ni mtu aliyejitenga na imani hiyo kutaka awe na haki ya kupata huduma za imani hiyo wakati sio mwenzao.

Ukiwa mkatoliki unazikwa kikatoliki, Muangilikana anazikwa kianglikana, msabato atazikwa kisabato. Hivyo haiwezekani wewe msabato ukazikwe kwa taratibu za KKKT.
 
Lakini hawamfanyi chochote iwe kuua kama kwenye uislamu
Nionyeshe ayah kweny uislamu inayotoa amri kama mtoa mada , kabla sijatoka online nikupe somo .

Mtume alishasema kumdhuru asiyekuwa muislamu kweny dola ya kiislamu ,ni kuwa adui wa mtume na mwwnyezi Mungu .

Nchi hizo zinatkaa kutokana na kuja tawaliwa na mila za wazungu .
 
Acha kujidanganya hao jamaa mpaka jina unachaguliwa la kizungu unasema kuhama , tumezika sana wakristo waliotengwa na kanisa mtu hata wazazi wake wameshindwa kufika kweny msiba .

Rjea mwaka juzi kule Arusha yule mdada mpaka akazikwa na wadudu .
Wewe Muislam unaweza zikwa kwa taratibu za Kikristo ilihali umeshahama Ukristo?.

Kama alijitenga na taratibu za kanisa ruksa wao kumkana kuwa sio mwenzao.

Pamoja na hayo, hauwezi sikia eti flani kauliwa sijui kapigwa mawe kisa kahama dhehebu au kabadili imani.
Hayo ya kuua au kudhuru kiumbe ambaye haujamuumba mnafanya nyie tu.
 
Ona hili linaongea nn ? Wasilamu wangapi hawaendi msikitini hata kusoma Qur an ahwajui mbona wanazikwa kiislamu hata wasanii .

Mtu haendi tu kanisani mnamtenga akihama ndio unatudanganya kwamba ni watu wema, nimekaa na nyie miaka kibao nawajua mwanzo mwisho ni wanafiki tena wazandiki wakubwa .
 
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.

Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao mtawaita wasioamini ila wao wasichoamini ni kwamba hakuna Mungu ila vidole vyao vinafanya kazi za kuwalisha, kuwavisha, kuwalinda, n.k.

Na kipimo cha imani huwa ni pale mtu anavyopevuka akili akiwa mtu mzima, Utotoni aliamini kwa asilimia kubwa ikiwa ni influence ya imani ya wazazi / walezi, kwamba kama baba anaabudu mizimu, ukristo, uislam, uhindu, n.k. basi na watoto atawaamulia wafuate nyayo zake katika imani.

Mtu haamini ukristo, ataachwa aamini chochote kwasababu huwezi kumlazimisha mtu imani, imani ipo kwenye roho na sio kwenye mwili, ukimlazimisha atasema kwa mdomo anaamini lakini moyoni ni tofauti kabisa, ina faida gani ?

Mtu haamini uislam, hio ni shughuli nyingine kabisa ?

  • Quran imeweka wazi kwamba mtu akiwa muislam haruhusiwi kuhama dini na kuna adhabu kali akihama, nchi zilizojaa waislam waweza kuuawa, kutengwa, kuabishwa, kufungwa, n.k. Wapo waislam wengi hawaamini lakini wanaogopa kubadili dini, wanaofanikiwa kuhama nchi ndio wanaweza kubadili dini

  • Nchi ambazo ni dola za kiislam zinaminya uhuru wa dini zingine kuabudu, wanataka watu wabudu uislam tu, na ikitokea umekosoa uislam unapewa kesi ya blasphemny, Majuzi tu hapo Palistan kuna baba kapigwa sana nusu afe kwa kuikosoa Quran na kupewa kesi ya Blasphemny, Lakini ni kawaida sana kwa waislam kuukosoa ukristo

View attachment 3007443
Jitihada mnazoziweka kwenye kuupiga vita Uislamu ni kubwa sana, na kama hii dini ingekuwa ni ubunifu wa mwanadamu ingeshakufa zamani sana, ila suprisingly mbona ndo the fastest growing religioun in the world?

Hoja zako zote hapo juu umeelezea mtazamo wako na sio uhalisia ulivyo, kama kawaida kwa wenzako waliotangulia katika jitihada hizi mitazamo yako imejaa either ujinga juu ya unachokiongelea ama malengo maalum unayojaribu kuyafikia.

Kwanza kabisa unapaswa kujua kwamba imani sio matamshi bali ni uhalisia wa kilichopo moyoni mwako, ukilijua hilo utagundua hakuna anayeweza kulazimisha Imani juu ya mwengine, sio Uislami wala dini nyengine yoyote. Hapo tu tayari kichwa chako cha habari kinakuwa kimebeba maudhui potofu.

Japo sina hakika na hiyo clip yako, ila nikuulize tu hao waliompiga ni mamlaka ya kiislamu ama ni watu binafsi? na kama kweli huyo alipigwa kwa kuikosoa Quran je alisema nini exctly? Au unaona ukiweka picha ya mtu anapigwa na ukasupport na maneno yako binafsi inatosha? Hata huku kwetu baadhi ya maeneo wezi huchomwa moto!
 
Sijaona alipolazimoshwa mtu hapo
Nimempa mda nipo online alete andiko kweny Qur an anazunguka , hawa hawajui Qur an ndio tatizo ?
T
Hizo nchi fika ndio utaelewa watu wanaishi kama kawaida , hakuna anayelazimishwa kuswali ... Tatizo wanakashfu katiba ni kutukana serikli nzima .
 
Jitihada mnazoziweka kwenye kuupiga vita Uislamu ni kubwa sana, na kama hii dini ingekuwa ni ubunifu wa mwanadamu ingeshakufa zamani sana, ila suprisingly mbona ndo the fastest growing religioun in the world?

Hoja zako zote hapo juu umeelezea mtazamo wako na sio uhalisia ulivyo, kama kawaida kwa wenzako waliotangulia katika jitihada hizi mitazamo yako imejaa either ujinga juu ya unachokiongelea ama malengo maalum unayojaribu kuyafikia.

Kwanza kabisa unapaswa kujua kwamba imani sio matamshi bali ni uhalisia wa kilichopo moyoni mwako, ukilijua hilo utagundua hakuna anayeweza kulazimisha Imani juu ya mwengine, sio Uislami wala dini nyengine yoyote. Hapo tu tayari kichwa chako cha habari kinakuwa kimebeba maudhui potofu.

Japo sina hakika na hiyo clip yako, ila nikuulize tu hao waliompiga ni mamlaka ya kiislamu ama ni watu binafsi? na kama kweli huyo alipigwa kwa kuikosoa Quran je alisema nini exctly? Au unaona ukiweka picha ya mtu anapigwa na ukasupport na maneno yako binafsi inatosha? Hata huku kwetu baadhi ya maeneo wezi huchomwa moto!
Huyu kwanza atuletee hiyo ayah kweny Qur an , unakuta linaongea halijui hata Qur an .....Hawa jamaa watawashika wasiokuwa na elimu tu.
 
Ona hili linaongea nn ? Wasilamu wangapi hawaendi msikitini hata kusoma Qur an ahwajui mbona wanazikwa kiislamu hata wasanii .

Mtu haendi tu kanisani mnamtenga akihama ndio unatudanganya kwamba ni watu wema, nimekaa na nyie miaka kibao nawajua mwanzo mwisho ni wanafiki tena wazandiki wakubwa .
Jibu swali, nani aliwahi dhuriwa au uawa kisa kahama Ukatoliki kawa either Msabato au Muislamu?
 
Ndio katiba yao sio kila nchi inafuata demokrasia ndio tatioz lenu , sheria ipo kweny ngazi ya juu ya nchi ndio wanatumia katiba hiyo , hakuna ulazima fanya kuhama basi nchi nyingine.

Fauta katiba sio kila kona wanafuata wazungu kweny sheria zao , wanachokataa ni nyie mkibadili kama wanawake wanaanza kutembea uchi kinyume na maadili yake , ushoga , ubakaji
Waislamu wengi hawana akili, ni mazuzu kama allah na shoga wake mudi.
 
Jitihada mnazoziweka kwenye kuupiga vita Uislamu ni kubwa sana, na kama hii dini ingekuwa ni ubunifu wa mwanadamu ingeshakufa zamani sana, ila suprisingly mbona ndo the fastest growing religioun in the world?

Hoja zako zote hapo juu umeelezea mtazamo wako na sio uhalisia ulivyo, kama kawaida kwa wenzako waliotangulia katika jitihada hizi mitazamo yako imejaa either ujinga juu ya unachokiongelea ama malengo maalum unayojaribu kuyafikia.

Kwanza kabisa unapaswa kujua kwamba imani sio matamshi bali ni uhalisia wa kilichopo moyoni mwako, ukilijua hilo utagundua hakuna anayeweza kulazimisha Imani juu ya mwengine, sio Uislami wala dini nyengine yoyote. Hapo tu tayari kichwa chako cha habari kinakuwa kimebeba maudhui potofu.

Japo sina hakika na hiyo clip yako, ila nikuulize tu hao waliompiga ni mamlaka ya kiislamu ama ni watu binafsi? na kama kweli huyo alipigwa kwa kuikosoa Quran je alisema nini exctly? Au unaona ukiweka picha ya mtu anapigwa na ukasupport na maneno yako binafsi inatosha? Hata huku kwetu baadhi ya maeneo wezi huchomwa moto!
Quran 4:89 >> Wasioamini uislam wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikataa basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi.
 
Ilikuwa kweny vita sio kubadii dini
Acha kupotosha, alichosema mtume Mohammad akiwa vitani, akiwa safarini, akiwa nyumbani kwake, n.k ndicho kinachofatwa, Alishatoa kibali muislam inabidi apigwe mapanga akibadili dini, Simple like that
 
Waislamu wengi hawana akili, ni mazuzu kama allah na shoga wake mudi.
Jaribu kuwa na heshima kidogo basi, mijadala ya kidini si ya kila mtu,hapa wanatakiwa watu wenye kujielewa na wakomavu

Kama ni mtu ambaye hisia zako ni za kitoto waache wengine wqjadili kwa hekima
 
Sasa mtoa mada mbona unapotosha kuhusu hiyo ayah?

4:89

Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi.

Je ulikuwa unakusudia nini kupotosha?
 
Back
Top Bottom