Unaweza lazimisha mwili kutenda lakini huwezi kulazimisha Imani, Kwanini uislam unalazimisha imani ?

Unaweza lazimisha mwili kutenda lakini huwezi kulazimisha Imani, Kwanini uislam unalazimisha imani ?

acha kujitetea kwa maneno matupu,
Tatizo hujui unagoogle kwa wanaopotosha! Sasa niambie wapi Mtume aliua au kuna aliyeacha uislamu akauliwa ? Tumia hata hadith nangojea hapa?
 
Akigueka na kupigana vita na waisamu , kupambana kwa kusambaza taarifa za uongo juu ya uislamu .....Kuacha battle hata leo unasikia askari wanahukumiwa kunyongwa kwa kukimbia vita .. Hao ni wasaliti wataenda kutoa siri.
huna hoja unaleta story tu, weka mstari preceding ama conceding unao backup context ya Sahih al-Bukhari, 9:83:17 kutetea hizo clip zako
 
Tatizo hujui unagoogle kwa wanaopotosha! Sasa niambie wapi Mtume aliua au kuna aliyeacha uislamu akauliwa ? Tumia hata hadith nangojea hapa?
Sheria zake zinatumika na baadhi ya nchi kwa sasa, mfano Saudi Arabi waislam wanaogopa kutamka wamebadili dini sababu sheria zao zinazofata uislam na zinawatisha wakifanya hivyo watauwawa,
 
Sasa mpumbavu hujui kitu halafu hautaki kujifunza . Nani apoteze muda wake ?

Hauna hoja maana huleti ayah ni maneno ya kutunga , ipo aya inasema ''Nyie mna dini yenu na sisi tun dini yetu'' Hap watu walimfuata mtume akafanye ibada kweny Miungu yao , huo hayo ndio maelekezo alipewa awajaibu.

Hkuna ayah zaidi ya wale wanaobadili na kupigana vita na waislamu kwa kutaka watoke kweny uislamu
Unajufunza nini kwa fala allah? Unajifunza nini kwa mudi aliyebanwa nacmashetani pangoni? Unajifunza nini kwa muhammad ansyeomba kuingizwa na allah?
 
Sheria zake zinatumika na baadhi ya nchi kwa sasa, mfano Saudi Arabi waislam wanaogopa kutamka wamebadili dini sababu sheria zao zinazofata uislam na zinawatisha wakifanya hivyo watauwawa,
Mdogo wangu mbona huelewi!? Hao walikuwa amadui na kupigana na uislamu hizo ayah tumesoma na kuelwa umesema surah 4:89 sasa nenda ayah ya 90 inayofuata ndio utajua hao ni maadui na wle wasiopmabana na uislamu wamejiondoa kimya kimya sio ruhusu kuwagusa .

Ayah inayofuata yaani 90 ni hii :-

'' Isipo kuwa wale wanao fungamana na watu ambao kuna maagano baina yenu na wao, au wale waliyo kujieni vifuani vyao hali zimewashinda kupigana nanyi au kupigana na kaumu yao. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angewapa nguvu juu yenu, nao wangeli pigana nanyi. Basi wakijiepusha nanyi na wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia ya kuwaua''

Wasisopigana na nyie msiwaue kama wataondoka kiroho safi au waliojisalimisha baada ya kushindwa , hawa walikuwa wanatoka na kuanza kupambana na uislamu ...Ndio maana nakuambia angalia mazingira ni vita .
 
Unajufunza nini kwa fala allah? Unajifunza nini kwa mudi aliyebanwa nacmashetani pangoni? Unajifunza nini kwa muhammad ansyeomba kuingizwa na allah?
Tatizo hauna unalojua mpakwa mafuta.
 
huna hoja unaleta story tu, weka mstari preceding ama conceding unao backup context ya Sahih al-Bukhari, 9:83:17 kutetea hizo clip zako
Basi dogo endelea ayah inayofuata maana sijui unacopy wapi huko ? 😀 😀 😀 😀

'' Isipo kuwa wale wanao fungamana na watu ambao kuna maagano baina yenu na wao, au wale waliyo kujieni vifuani vyao hali zimewashinda kupigana nanyi au kupigana na kaumu yao. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angewapa nguvu juu yenu, nao wangeli pigana nanyi. Basi wakijiepusha nanyi na wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia ya kuwaua''
 
Basi dogo endelea ayah inayofuata maana sijui unacopy wapi huko ? 😀 😀 😀 😀

'' Isipo kuwa wale wanao fungamana na watu ambao kuna maagano baina yenu na wao, au wale waliyo kujieni vifuani vyao hali zimewashinda kupigana nanyi au kupigana na kaumu yao. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angewapa nguvu juu yenu, nao wangeli pigana nanyi. Basi wakijiepusha nanyi na wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia ya kuwaua''
ISIPOKUWA
ISIPOKUWA
ISIPOKUWA
ISIPOKUWA

Kwanini kuwe na MASHARTI katika uhuru wa imani ?

Kwanini waamuliwe maisha kwa kigezo cha imani ?

Kwanini anaeamua hio "ISIPOKUA" awe muislamu ?
 
ISIPOKUWA
ISIPOKUWA
ISIPOKUWA
ISIPOKUWA

Kwanini kuwe na MASHARTI katika uhuru wa imani ?

Kwanini waamuliwe maisha kwa kigezo cha imani ?
Isipokuwa yule aliyejisalimisha , ina maana hao walikuwa wanapambana na uislamu kweny vita , soma context ya surah hiyo pia endelea mpaka aya ya 99 .

😀 😀 😀 😀..Masharti wakati mwenzio anakusambulia .
 
Isipokuwa yule aliyejisalimisha , ina maana hao walikuwa wanapambana na uislamu kweny vita , soma context ya surah hiyo pia endelea mpaka aya ya 99 .

😀 😀 😀 😀..Masharti wakati mwenzio anakusambulia .
Ujumbe ni ule ule tu, mistari ni mingi mno Mohamed karuhusu kuua wasioamini

Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini

Allah’s Apostle said, “The blood of a Muslim who confesses that none has the right to be worshipped but Allah and that I am His Apostle, cannot be shed except in three cases: In Qisas for murder, a married person who commits illegal sexual intercourse and the one who reverts from Islam (apostate) and leaves the Muslims.
 
Acha kujidanganya hao jamaa mpaka jina unachaguliwa la kizungu unasema kuhama , tumezika sana wakristo waliotengwa na kanisa mtu hata wazazi wake wameshindwa kufika kweny msiba .

Rjea mwaka juzi kule Arusha yule mdada mpaka akazikwa na wadudu .
Samahani,unaweza kufafanua kidogo hapo nini kilisibu kwa huyo dada?

Anazikwaje na wadudu wakati mtu ni binadamu?
 
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.

Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao mtawaita wasioamini ila wao wasichoamini ni kwamba hakuna Mungu ila vidole vyao vinafanya kazi za kuwalisha, kuwavisha, kuwalinda, n.k.

Na kipimo cha imani huwa ni pale mtu anavyopevuka akili akiwa mtu mzima, Utotoni aliamini kwa asilimia kubwa ikiwa ni influence ya imani ya wazazi / walezi, kwamba kama baba anaabudu mizimu, ukristo, uislam, uhindu, n.k. basi na watoto atawaamulia wafuate nyayo zake katika imani.

Mtu haamini ukristo, ataachwa aamini chochote kwasababu huwezi kumlazimisha mtu imani, imani ipo kwenye roho na sio kwenye mwili, ukimlazimisha atasema kwa mdomo anaamini lakini moyoni ni tofauti kabisa, ina faida gani ?

ukihama ukristo sanasana unakosa tu zile huduma za kidhehebu kama kuzikwa kwa mujibu wa taratibu zao, mtu aliyehama imani yafaa zaidi azikwe kwa taratibu za imani aliyohamia. ila hawakudhuru wala kukupa hata kofi wala vitisho, Ni kweli kuna baadhi ya wakristo wakibadili dini hutengwa lakini ikitokea hivyo tayari ni kukiuka misingi ya dini, huwezi kumlazimisha mtu aamini asichoamini.

Shughuli ni pevu sana kwenye uislam

Quran imeweka wazi kwamba mtu akiwa muislam haruhusiwi kuhama dini na kuna adhabu kali akihama, nchi zilizojaa waislam waweza kuuawa, kutengwa, kuabishwa, kufungwa, n.k. Wapo waislam wengi hawaamini lakini wanaogopa kubadili dini, wanaofanikiwa kuhama nchi ndio wanaweza kubadili dinI, Nchi kama Saudi Arabia inafuata sheria za kiislam na kwenye katiba yao ya nchi kuna sheria ya kuua muislam anaebadali dini, Unadhani nani atadiriki kutamka kubadili dini ?,

Kuna mistari kibao inashinikiza kunyanyasa hat kuua wanaobadili dini ama wenye dini zingine, michache ni kama Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini

Nchi ambazo ni dola za kiislam zinaminya uhuru wa dini zingine kuabudu, wanataka watu wabudu uislam tu, na ikitokea umekosoa uislam unapewa kesi ya blasphemny, Majuzi tu hapo Palistan kuna baba kapigwa sana nusu afe kwa kuikosoa Quran na kupewa kesi ya Blasphemny, Lakini ni kawaida sana kwa waislam kuukosoa ukristo

View attachment 3007478
Kwanza kabisa nikiri kulazomisha ni kanuni ya kidemokrasia.

Wengi wape, wachache wawatii walio wengi.

Tanganyika yafaa kuwa ni case study kwa ukristo na znz yafaa kuwa case study kwa Uislamu.

Kuna mambo mengi imani moja inalazimishwa kufata imani ingine.

Tanganyika ambako wakristo wanajinadi kuwa ni wengi wanawalazimisha waislam kufata imani ya ukana Mungu kwa mgongo wa serikali (opinion).

Huku znz uwingi wa waislam inawalazisha wakristo kufata sheria za kiislam baadhi ya nyakati.

kwa miaka hadi ya 80 waktristo wa Tanganyika waliwalazimisha waislam wanafunzi kutovaa hijab kwa kisingizo serikali haina dini.

Lkn mbaya zaidi wakristo kupitia migongo wa serikali imetunga sheria ya kibaguzi dhidi ya waislam. Sheria ya ugaidi. Wakati kulikuwa na sheria huru, sheria ya uhalifu.

Hivi sasa waktrito hawako tayari kufata katiba kwa kuwaruhusu mabinti wa kiislam jkt na vikosi vya ulinzi na usalama kuvaa uniform zinazikidhi mahitaji ya imani zao kama ilivyo kwa mabinti wanafunzi.

ni wazi wakristo hawana uvumilivu dhidi ina values za kiislam kama ambavyo uniform za jeshi zinavyokidhi imani na values za dini yao

Somo la imani ni pana sana. Na ukilichimba utaona kila imani inalazimisha jamii au mtu mnyonge Aache imani yake na kufata imani ya wenye nguvu na ushawishi.

Case study hapa tz.

Kila imani ni dini.

Kwani dini ni imani.

Kwa hiyo kama Ujamaa ni imani, kimantiki Ujamaa ni dini.

Ujamaa ni mtoto wa kwa kwanza wa uzao wa Umarxi.

Umarxi ni dini ya kukana uwepo wa mungu. Kama mwandush James Lindsay alivyodadavua

Most people think of Marxism as an economic theory or, perhaps, a social theory. This isn’t sufficient. Marxism, strange as it may sound, is a theology, the basis for a religion. This isn’t to say that Marxism or Communism is like a religion. It is to say that it literally is a religion.

Swali

Kama Ujamaa ni imani ambayo hauko universal kwanini inawalazimisha waislam waachane na kuabudu kwa imani yao na wafate imani ya wakana mungu.

Je Serikali kutokuwa na dini ina maana gani.

Kuwalinda watu waweze kupractice imani zao au kuwazuia baadhi ya dini kupractice dini zao.

What if imani ya serikali is not universal, raia anapaswa kufata imani gani katika taifa yenye katiba inayotoa uhuru wa watu kuabudu.

Any way kama nilivyotangulia kusema mada ya imani ni pana sana. Na nahajika kuna wengu ambao hawatanielewa.

Kwani nimehoji ktk thread ingine kuwa kuvaa hijab kwa mabinti wa kiislam ni ibada. Ni kuabudu. Kwanini sasa kule jeshini wanawalazimisha kuvaa uniform sawa na imani ya wakana Mungu.

Kuvaa vibukta wasichana wa kiislam.

Ambapo ktk nchi zenye kuongozwa na mfumo wa demokrasia kama tz zinaruhusu kwa watu wa imani kuwekewa taratibu ili wawezs kupractice imani zao huku wakitumikia serikali.

Kwa tz ili binti muislam analazimika kuacha kuabudu kwa imani yake akiwa ktk mafunzo ya jkt au jeshini.

Kwani kwake kuvaa uniform zenye stara ni ibada, ni kuabudu. Na anapolazimika kutovaa uniform hizo Maalum ni sawa na kulazimishwa kufata imani ya serikali inayoweza uhuru watu kuvaa watakavyo.

Vp tusiseme watendaji wako ktk vita dhidi ya Uislamu kwa kivuli cha Ujamaa kama ambavyo mapope walivyokuwa ktk vita vya crusade miaka ile ya giza. (Opinion).
 
Attachments

  • Screenshot_20240603-191143_Chrome.jpg
    Screenshot_20240603-191143_Chrome.jpg
    708.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240603-191413_Chrome.jpg
    Screenshot_20240603-191413_Chrome.jpg
    676.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240603-191432_Chrome.jpg
    Screenshot_20240603-191432_Chrome.jpg
    824.4 KB · Views: 1
Quran 4:89 >> Wasioamini uislam wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikataa basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi.

huo mstari wa 90 umeanza kuweka masharti, kwanini kuwe na masharti ?
Hilo sharti lenyewe umelielewa lakini? ni amri kwa waislamu kutokuwaua hao! ... yani kweli gaidi anaweza kuambiwa msiwaue waliojikinga nanyi kupitia wale mlio na mikataba nao ya amani? pia walio jisalimisha wasiuliwe.

Unajua ukianza kubishia kitu ambacho hukielewi na wala huna nia ya kukielewa inakuwa kama tunachoshana tu kwa kweli!

Yani unauliza kwanini sheria imeweka sharti la askari kutomdhuru mtuhumiwa asiye na silaha? sasa hilo ni jambo baya au jema?
 
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.

Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao mtawaita wasioamini ila wao wasichoamini ni kwamba hakuna Mungu ila vidole vyao vinafanya kazi za kuwalisha, kuwavisha, kuwalinda, n.k.

Na kipimo cha imani huwa ni pale mtu anavyopevuka akili akiwa mtu mzima, Utotoni aliamini kwa asilimia kubwa ikiwa ni influence ya imani ya wazazi / walezi, kwamba kama baba anaabudu mizimu, ukristo, uislam, uhindu, n.k. basi na watoto atawaamulia wafuate nyayo zake katika imani.

Mtu haamini ukristo, ataachwa aamini chochote kwasababu huwezi kumlazimisha mtu imani, imani ipo kwenye roho na sio kwenye mwili, ukimlazimisha atasema kwa mdomo anaamini lakini moyoni ni tofauti kabisa, ina faida gani ?

ukihama ukristo sanasana unakosa tu zile huduma za kidhehebu kama kuzikwa kwa mujibu wa taratibu zao, mtu aliyehama imani yafaa zaidi azikwe kwa taratibu za imani aliyohamia. ila hawakudhuru wala kukupa hata kofi wala vitisho, Ni kweli kuna baadhi ya wakristo wakibadili dini hutengwa lakini ikitokea hivyo tayari ni kukiuka misingi ya dini, huwezi kumlazimisha mtu aamini asichoamini.

Shughuli ni pevu sana kwenye uislam

Quran imeweka wazi kwamba mtu akiwa muislam haruhusiwi kuhama dini na kuna adhabu kali akihama, nchi zilizojaa waislam waweza kuuawa, kutengwa, kuabishwa, kufungwa, n.k. Wapo waislam wengi hawaamini lakini wanaogopa kubadili dini, wanaofanikiwa kuhama nchi ndio wanaweza kubadili dinI, Nchi kama Saudi Arabia inafuata sheria za kiislam na kwenye katiba yao ya nchi kuna sheria ya kuua muislam anaebadali dini, Unadhani nani atadiriki kutamka kubadili dini ?,

Kuna mistari kibao inashinikiza kunyanyasa hat kuua wanaobadili dini ama wenye dini zingine, michache ni kama Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini

Nchi ambazo ni dola za kiislam zinaminya uhuru wa dini zingine kuabudu, wanataka watu wabudu uislam tu, na ikitokea umekosoa uislam unapewa kesi ya blasphemny, Majuzi tu hapo Palistan kuna baba kapigwa sana nusu afe kwa kuikosoa Quran na kupewa kesi ya Blasphemny, Lakini ni kawaida sana kwa waislam kuukosoa ukristo

View attachment 3007478
Dini zisizojiamini
 
Back
Top Bottom