MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
hujakutana na wakatolik aisee. mtu analaaniwa na familia nzima, kwamba amedharau dini ya wzazi wake
Bora ulaaniwe kuliko huo uchafu wenu wa kupiga na kuua watu kisa hiyo dini ya muarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujakutana na wakatolik aisee. mtu analaaniwa na familia nzima, kwamba amedharau dini ya wzazi wake
Ndio katiba yao sio kila nchi inafuata demokrasia ndio tatioz lenu , sheria ipo kweny ngazi ya juu ya nchi ndio wanatumia katiba hiyo , hakuna ulazima fanya kuhama basi nchi nyingine.
Fauta katiba sio kila kona wanafuata wazungu kweny sheria zao , wanachokataa ni nyie mkibadili kama wanawake wanaanza kutembea uchi kinyume na maadili yake , ushoga , ubakaji
Nimezungumza hayo kwa heshima kubwa sana kuwa allah wa kwenye qur an ni mwehu.Jaribu kuwa na heshima kidogo basi, mijadala ya kidini si ya kila mtu,hapa wanatakiwa watu wenye kujielewa na wakomavu
Kama ni mtu ambaye hisia zako ni za kitoto waache wengine wqjadili kwa hekima
Naanzaje kupoteza muda kuhangaika na maandishi ya mpuuzi allah na shoga wake mudi?Leta ayah kweny Qur an mnuka mdomo !?
Imetosha kujua tunajadiliana na mtu wa aina ganiNimezungumza hayo kwa heshima kubwa sana kuwa allah wa kwenye qur an ni mwehu.
Safari njema mfuasi wa fala allah.Imetosha kujua tunajadiliana na mtu wa aina gani
Shukrani
Acha kujidanganya hao jamaa mpaka jina unachaguliwa la kizungu unasema kuhama , tumezika sana wakristo waliotengwa na kanisa mtu hata wazazi wake wameshindwa kufika kweny msiba .
Rjea mwaka juzi kule Arusha yule mdada mpaka akazikwa na wadudu .
Soma mwanzo ni kuelekea vita ya uhud , kuwa elimu kidogo hapo kuna usaliti unatakiwa usome sio kubadili dini .Acha kupotosha, alichosema mtume Mohammad akiwa vitani, akiwa safarini, akiwa nyumbani kwake, n.k ndicho kinachofatwa, Alishatoa kibali muislam inabidi apigwe mapanga akibadili dini, Simple like that
Sasa mpumbavu hujui kitu halafu hautaki kujifunza . Nani apoteze muda wake ?Naanzaje kupoteza muda kuhangaika na maandishi ya mpuuzi allah na shoga wake mudi?
Ni kitu kile kile tu, Mtume kashaagiza sehemu kibao kuua wanaobadili dini, huwezi kutetea kitu ambacho kakishinikiza mara nyingiSoma mwanzo ni kuelekea vita ya uhud , kuwa elimu kidogo hapo kuna usaliti unatakiwa usome sio kubadili dini .
Unatakiwa usome Ayah hiyo imetokana na nn ? Context ni maziingira ya vita watu ndio walitaka kuangamiza uislamu kwa vile wao walitoka kweny group basi walitaka kulazimisha waislamu nao wafuate wao .
Ina maana kuwasaliti na kuwapiga vita waislamu , huu ni uadui ni ugaidi dhidi ya uislamu lazima wapamnane .
Una jingine?
Nionyeshe ayah mtu akibadili dini auliwe , naslimu hapo !
Sasa mpumbavu hujui kitu halafu hautaki kujifunza . Nani apoteze muda wake ?Naanzaje kupoteza muda kuhangaika na maandishi ya mpuuzi allah na shoga wake mudi?
Hauna hoja maana huleti ayah ni maneno ya kutunga , ipo aya inasema ''Nyie mna dini yenu na sisi tun dini yetu'' Hap watu walimfuata mtume akafanye ibada kweny Miungu yao , huo hayo ndio maelekezo alipewa awajaibu.Ni kitu kile kile tu, Mtume kashaagiza sehemu kibao kuua wanaobadili dini, huwezi kutetea kitu ambacho kakishinikiza mara nyingi
Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini
Sina hoja kivipi, wewe kiri tu kwamba huwezi kujitetea.Sasa mpumbavu hujui kitu halafu hautaki kujifunza . Nani apoteze muda wake ?
Hauna hoja maana huleti ayah ni maneno ya kutunga , ipo aya inasema ''Nyie mna dini yenu na sisi tun dini yetu'' Hap watu walimfuata mtume akafanye ibada kweny Miungu yao , huo hayo ndio maelekezo alipewa awajaibu.
Hkuna ayah zaidi ya wale wanaobadili na kupigana vita na waislamu kwa kutaka watoke kweny uislamu
Msisitizo kwa watakaogeuka na kupigana na waislamu , kipind hiko ni cha vita , kumbuka waliosaliti na kuondoka na kikosa kitu kilichosbabisha waislamu kushindwa vita .Ni kitu kile kile tu, Mtume kashaagiza sehemu kibao kuua wanaobadili dini, huwezi kutetea kitu ambacho kakishinikiza mara nyingi
Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini
Ndo maana nikasema tatizo ni kuongelea usichokijua ama ni mpango maalumu wa kupotosha ukweli.Mtume Mohammad.... Surat An-Nisa' [4:89 >> WAISLAM WATAOBADILI DINI, MUWAKAMATENI NA KUWAUA POPOTE MTAPOWAKUTA
Akigueka na kupigana vita na waisamu , kupambana kwa kusambaza taarifa za uongo juu ya uislamu .....Kuacha battle hata leo unasikia askari wanahukumiwa kunyongwa kwa kukimbia vita .. Hao ni wasaliti wataenda kutoa siri.Sina hoja kivipi, wewe kiri tu kwamba huwezi kujitetea.
Haya ni maneno ya Muhamed
Sahih al-Bukhari, 9:83:17 > Mtume Muhammad alisema "Damu ya muislam anaekiri hakuna wa kuabudiwa zaidi ya Allah na mimi ni mtume hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa kwa sababu tatu: Kaua, mwanandoa kuzini na pale inapotokea muislam kubadili dini
acha kujitetea kwa maneno matupu,Msisitizo kwa watakaogeuka na kupigana na waislamu , kipind hiko ni cha vita , kumbuka waliosaliti na kuondoka na kikosa kitu kilichosbabisha waislamu kushindwa vita .
Yeyote enzi hizo akitoka basi atajiunga na maadui na kuupiga vita uislamu , akianza tu basi watu wanamaliza maana ni vita hiyo ..
Quran 4:89 >> Wasioamini uislam wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikataa basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi.Ndo maana nikasema tatizo ni kuongelea usichokijua ama ni mpango maalumu wa kupotosha ukweli.
Soma tafsiri ya hiyo aya hapo chini halafu nikuulize kitu, mkiwa katika vita halafu akatokea mtu katika upande wa maadui akasema mimi ni mwenzenu lakini hataki kuwa pamoja nanyi bali yupo miongoni mwa maadui zenu, then huyo mtu ajifanye anataka kuwasaidia we utafanyaje? ... hebu jiangalie jinsi ulivojificha sehemu ya wazi kabisa!
(Quran 4:89)
They wish you would disbelieve as they disbelieved so you would be alike. So do not take from among them allies until they emigrate for the cause of Allah . But if they turn away, then seize them and kill them wherever you find them and take not from among them any ally or helper.
(Quran 4:90)
Except for those who take refuge with a people between yourselves and whom is a treaty or those who come to you, their hearts strained at [the prospect of] fighting you or fighting their own people. And if Allah had willed, He could have given them power over you, and they would have fought you. So if they remove themselves from you and do not fight you and offer you peace, then Allah has not made for you a cause [for fighting] against them.