Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

Kuna wale wanajaza wali, hua nashangaa sana kwan makwao hua hawali?
Kwenye sherehe hua nachukua kitu ambacho kwa mazingira yangu hua n vigumu kupata mfano labla samaki na hasahasa bites na sio kujaza wali.
ndivyo inavyotakiwa
 
Kwa hili neno kubabandeki nimejua kuwa wewe ni mhenga mwenzangu .

Salama mkuu wangu ?
 
Kuna watu hukera hana hata cha kuongea cha maana anapiga simu back to back
 
Umenena vyema. Mambo ya msingi kabisa
 
Hii ni kweli kabisa..
Nashangaa kuna mijitu kama haina akili yaani tuseme ni elimu au shida nini.

Kuna mmoja nilimtumia kiasi flan.. et nae akarudisha hvo hvo..
Wakati mimi nilitoa cash kwenda kwa wakala
 
Ogopa utapeli..
Akikubali kutumiwa nauli, NENDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…