Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

Yule kahaba wa Tanzagiza mbona simuoni hapo ?
 
Haya ni Madharau kwa viongozi wetu, lakini ukiwa omba omba inabidi!!!

Ukikubali kudharaulika, utadharauliwa!! Hawa viongozi kutoka Africa wamekubali kuswagwa kama ng'ombe na Trump mtu ambae kila leo anawatukana kuwa nchi zao ni "SHITHOLE" countries!! Hata hivi sasa anakataza raia wa chi za Africa kwenda Marekani lakini viongozi wazee wa Africa yenye utajiri mwingi : bado wanakubali kudhaliclishwa na Trump! What a shame ; Africa needs a change in leadership!
 
Aisee kuna kuna muda wanaweza kukaa bila bodyguards wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…