Sasa wew ulitaka wakae wap?
Kama ndio sehemu ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya marais wa africa lazima wakae hapo .
Mfano mzuri kuna zaidi ya marais kumi kwenye hafla moja wote wakikaa meza kuu hapo kutakuwa na nn?
Alafu unataka kutengeneza chuki za bure tu wew akili yako ndogo . Rais wa marekani na rais wa tanzania ni sawa japo wote ni marais ,uje ufaransa n.k
Mfano kwenye mgogoro wa congo mbono alikuwa meza kuu na trump kwa sababu marais walikuwa watatu tu.
Hapa tananzania tu mfano hata kipindi cha uapisho wa marais ,msiba wa magu na n.k matukio makubwa lazima kutakuwa sehemu ya ma rais ,mabalozi ,maybe wa bunge n.k
Sasa wew tengeneza hiyo meza ya kuweka marais 50na kila mtu na mlizi wake wew kama unataka kunyenyekewa baki kwenye nchi yako .lakn ukienda sehemu utafata utaratibu wa pale.