Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
Mkuu ya kweli haya,Balozi wa serikali yenu ya mchongo alikataliwa
Sasa alienda kufanya nini kwenye kikao ambacho hajaitwa ?
Mkuu ya kweli haya,Balozi wa serikali yenu ya mchongo alikataliwa
Kwamba hivyo viti wakikalia hawafi?!mbona wakifa huwa hamuwaziki angani ili vumbi lisiwagusee?!Hapana , kuna viti vya heshima ambavyo viongozi wa nchi za ulaya au Asia huwa wanakalia wanapokuwa kwenye sherehe kama hizo! Trump anawadharau ndio maana wamefanyiwa hivyo! Ingekuwa Waarabu thubutu yake!!!
Hapa tunazungumzia hivyo viti vya chuma walivyokalia sio meza!!! Mind you hilo jumba waliomo ni karibu na State department ambako hakuna uhaba wa viti vya hadhi!!
Umejibiwa vizuri sana, maraisi ni watu kama wewe walichokuzidi ni kazi/power ya kazi yao, hata wewe unaweza kuwa raisi maana yule form four failure mnayemwabudu na kuua watu ni raisi ingawaje ni mwizi wa kura…December 9 siku ya maandamano usisahaujifunze kujikita kwenye mada
Hakuna mtu anaheshimu watu wezi, madikteta, wezi wa kura na wauaji wa wananchi wao, kama lile Ushungi lilitakiwe lipigishwe deki na kurudishwa lilipotoka fasterUkikubali kudharaulika, utadharauliwa!! Hawa viongozi kutoka Africa wamekubali kuswagwa kama ng'ombe na Trump mtu ambae kila leo anawatukana kuwa nchi zao ni "SHITHOLE" countries!! Hata hivi sasa anakataza raia wa chi za Africa kwenda Marekani lakini viongozi wazee wa Africa yenye utajiri mwingi : bado wanakubali kudhaliclishwa na Trump! What a shame ; Africa needs a change in leadership!
Kwamba hivyo viti wakikalia hawafi?!mbona wakifa huwa hamuwaziki angani ili vumbi lisiwagusee?!
Heshima kwa kiongozi haiji kwa aina ya kiti atakalia au aina ya gari atatumia..vitendo ndio vinaleta heshima!Kweli GEN Z mmeamua kuwachukia hawa viongozi wenu wazee!! Lakini wanastahili kuchukiwaa kwani wote ni wezi, wanatia aibu continent la Africa!
Sasa viongozi wote hao wangekaa wap?,kama siyo hapo
Mbona kichwa ngumu Kuelewa mkuu, hujui Lugha za kifasihi, hapo anamaanisha hao viongozi kiafrika wamekalia viti vya hadhi chini sana tofauti na wanavyokua nchini Kwao ule ufahari na UTUKUFU haupo hapo ndo maana akasema wamekalia viti vya mbao au benchi, tafsida tu hizo.Mbona ni viti hivyo.
Halafu machadema huwa mnakuwa na upungufu wa busara katika kila mnalofanya.