cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 2,169
- 2,540
Mkuu, unajua huwa kuwa huwa tunaletewa pesa za kuchimba vyoo mashimo toka Marekani? Ni kosa la nani hasa!Kuna mambo huwa nawatetea nchi za Ulaya na Marekani, kwa upumbavu wa viongozi wetu! Lakini katika picha hakuna unyanyasaji wowote! Ulitaka wakae kwenye juu ya Red carpet ?Ukikubali kudharaulika, utadharauliwa!! Hawa viongozi kutoka Africa wamekubali kuswagwa kama ng'ombe na Trump mtu ambae kila leo anawatukana kuwa nchi zao ni "SHITHOLE" countries!! Hata hivi sasa anakataza raia wa chi za Africa kwenda Marekani lakini viongozi wazee wa Africa yenye utajiri mwingi : bado wanakubali kudhaliclishwa na Trump! What a shame ; Africa needs a change in leadership!
Tindo: Umemaliza mkuu! Na bado wanapiga kelele " Who are you" 30-40% Pesa ya maendeleo inatoka kwao! Kuna kipindi hata kuchimba vyoo vya shimo, ilikuwa pesa ya Marekani! Inasikitisha!Mmezoe kuwatukuza viongozi hapa, kiasi kwamba wakifika mahali wasipopewa utukufu mlioozoea, mnahisi wamedogoshwa. Tena viongozi wenyewe hawa wanaoingia madarakani kwa kupora uchaguzi, ilitakiwa hata wapigishwe magoti.
Sasa wew ulitaka wakae wap?
Mkuu hawajua hilo!Sasa wew ulitaka wakae wap?
Kama ndio sehemu ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya marais wa africa lazima wakae hapo .
Mfano mzuri kuna zaidi ya marais kumi kwenye hafla moja wote wakikaa meza kuu hapo kutakuwa na nn?
Alafu unataka kutengeneza chuki za bure tu wew akili yako ndogo . Rais wa marekani na rais wa tanzania ni sawa japo wote ni marais ,uje ufaransa n.k
Mfano kwenye mgogoro wa congo mbono alikuwa meza kuu na trump kwa sababu marais walikuwa watatu tu.
Hapa tananzania tu mfano hata kipindi cha uapisho wa marais ,msiba wa magu na n.k matukio makubwa lazima kutakuwa sehemu ya ma rais ,mabalozi ,maybe wa bunge n.k
Sasa wew tengeneza hiyo meza ya kuweka marais 50na kila mtu na mlizi wake wew kama unataka kunyenyekewa baki kwenye nchi yako .lakn ukienda sehemu utafata utaratibu wa pale.
Mkuu, unajua huwa kuwa huwa tunaletewa pesa za kuchimba vyoo mashimo toka Marekani? Ni kosa la nani hasa!Kuna mambo huwa nawatetea nchi za Ulaya na Marekani, kwa upumbavu wa viongozi wetu! Lakini katika picha hakuna unyanyasaji wowote! Ulitaka wakae kwenye juu ya Red carpet ?
Hivyo sio viti vya heshima?Hapana , kuna viti vya heshima ambavyo viongozi wa nchi za ulaya au Asia huwa wanakalia wanapokuwa kwenye sherehe kama hizo! Trump anawadharau ndio maana wamefanyiwa hivyo! Ingekuwa Waarabu thubutu yake!!!
Ajikite kwenye mada kivipi ? huko Kwa wenzetu kiongozi ni mtu wa kawaida tu Huku kwetu mnamuabudu rais kuliko Mungu au mtu akiwa tu kiongozi hata kupanda bajaji hataki.jifunze kujikita kwenye mada
Wahuni sio watu waliwajaza kwenye Coaster engine 1HZ sio wao wenyewe ilibidi wacheke tu hapo huku Rais wa USA aliingia kwa magari ya kutosha na escort kama kawaida yake..Huyu ni nani? Punguza uchawa na ujinga. View attachment 3512409
Sio kwa protocol za nchi kama Marekani! Lakini kwa vile wote hao ni wezi waache wapate joto ya matako kama wanayopata wazee wa Daresalaam hivi sasa kwa ujinga wao wa kumpigia makofi mwizi mwenzao Samia!Hivyo sio viti vya heshima?
😂😂😂😂😂😂Huyu ni nani? Punguza uchawa na ujinga. View attachment 3512409
Ruto huwa hazimpi shida hizi. Wengine hujaribu hata kujifichaficha. Walipokwenda UK kuhudhuria mazishi ya Queen Elizabeth II, walipandishwa bus. Samia The Killer alikuwa anatamani kufunika uso wake, lakini Ruto alikuwa comfortably smiling to the Camera!
Mama yenu alipokalishwa kwenye daladala ulikuja kuiandikia Mada?
sasa hapo cha ajabu ni kipi?
Wewe unafikiri mama yako Samia akienda huko atakalia kochi au sofa?
wakijaga uku wanawekwa kwenye benchi?Wewe unafikiri mama yako Samia akienda huko atakalia kochi au sofa?
Ego na boostful attitude inayozaa jeuri na kiburi cha madaraka ya viongozi wa Tanzania ndio iliyosabisha hata mauaji ya 29/10
Nani kakuambia kuwa ukikaa kwenye bench la mbao utaacha kuwa Rais??