Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

Kwamba hivyo viti wakikalia hawafi?!mbona wakifa huwa hamuwaziki angani ili vumbi lisiwagusee?!
 
jifunze kujikita kwenye mada
Umejibiwa vizuri sana, maraisi ni watu kama wewe walichokuzidi ni kazi/power ya kazi yao, hata wewe unaweza kuwa raisi maana yule form four failure mnayemwabudu na kuua watu ni raisi ingawaje ni mwizi wa kura…December 9 siku ya maandamano usisahau
 
Hakuna mtu anaheshimu watu wezi, madikteta, wezi wa kura na wauaji wa wananchi wao, kama lile Ushungi lilitakiwe lipigishwe deki na kurudishwa lilipotoka faster
 
Kwamba hivyo viti wakikalia hawafi?!mbona wakifa huwa hamuwaziki angani ili vumbi lisiwagusee?!

Kweli GEN Z mmeamua kuwachukia hawa viongozi wenu wazee!! Lakini wanastahili kuchukiwaa kwani wote ni wezi, wanatia aibu continent la Africa!
 
Kweli GEN Z mmeamua kuwachukia hawa viongozi wenu wazee!! Lakini wanastahili kuchukiwaa kwani wote ni wezi, wanatia aibu continent la Africa!
Heshima kwa kiongozi haiji kwa aina ya kiti atakalia au aina ya gari atatumia..vitendo ndio vinaleta heshima!
 
Nawaona kama viranja viongozi ni wakoloni walewale.
 
Mbona ni viti hivyo.

Halafu machadema huwa mnakuwa na upungufu wa busara katika kila mnalofanya.
 
Mbona ni viti hivyo.

Halafu machadema huwa mnakuwa na upungufu wa busara katika kila mnalofanya.
Mbona kichwa ngumu Kuelewa mkuu, hujui Lugha za kifasihi, hapo anamaanisha hao viongozi kiafrika wamekalia viti vya hadhi chini sana tofauti na wanavyokua nchini Kwao ule ufahari na UTUKUFU haupo hapo ndo maana akasema wamekalia viti vya mbao au benchi, tafsida tu hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…