Unaweza usiamini kama bungeni kuna wabunge Wakristo

Anguko utawala wowote lilikaribia viongozi wote wa utawala husika huongozwa na kiburi na majivuno, si busara na hekima. Cha ajabu baada ya anguko aliye juu kabisa ndiye ubebeshwa gunia la misumari, akahubiri.
 
Maombi/ yangu/ kwa/ Mungu/ ni;
/ Baba/ uwasamehe /kwani/ hawajui /watendalo. Job ni lugha/ tu /ya /kigeni yaani Ayubu/ na ni mkristo
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!

Alikuwepo Mch. Mama Getruda Lwakatare.

Siku moja mbunge mmoja alikuwa anachangia kwa style hii waliyoitumia Lusinde, Msukuma, Lijualikali na Ndugai mwenyewe ya kubeza na kuunga mkono utwezaji wa UTU wa binadamu wengine. Walikuwa wakiomba ikiwezekana Zito Kabwe auwawe.

Huyo mama tena mkristo mchungaji mwenye kundi kubwa la kondoo analolichunga, akawa anacheka na kugonga meza kwa nguvu kama ishara ya kuunga mkono hoja hiyo ya uhaini dhidi ya ubinadamu.

Haikuchukua muda mrefu, hukumu ya kifo ilimfuata humohumo. Sasa nadhani atakuwa amekwisha kuoza na kuchanganyikana na udongo.

Mungu hadhihakiwi hata kidogo!
 
Alikuwepo Mch. Mama Getruda Lwakatare.

Siku moja mbunge mmoja alikuwa anachangia kwa style hii waliyoitumia Msukuma na Lijualikali ya kubeza na kuunga mkono utwezaji wa UTU wa binadamu wengine.

Huyo mama tena mkristo mchungaji mwenye kundi kubwa la kondoo analolichunga, akawa anacheka na kugonga meza kwa nguvu kama ishara ya kuunga hoja hiyo ya uhaini dhidi ya ubinadamu.

Haikuchukua muda mrefu, hukumu ya kifo ilimfuata humohumo. Sasa nadhani atakuwa amekwisha kuoza na kuchanganyikana na udongo.

Mungu hadhihakiwi hata kidogo!

Huku akicheza singeli ya mwanaume mashine wakati wa kampeni ya kumnadi mtulia,huyu mama keshawahi tamka wapinzani ni mapepo hivo anayaombea yatoke, matokeo yake katoka yeye huku akiucha upinzani imara.
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Pale hakuna hofu ya Mungu, roho ya shetani imekolea mioyoni mwa watu

Nimekumbuka mama Rwakatare alipopiga makofi wakati Mbunge mmoja aliposhauri roho ya zito kabwe itolewe
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Mzee kumbe kuna muda unatema madini eeh...
 
Mlevi ni mlevi tu, hata ukristo ni zaidi ya uislamu?
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Kama mtu anatumia kodi ya wamachinga na mama ntilie kulewa alafu anakuwa mbwii na ananguka na kuvunja mguu huyo ni wa kumhurumia?
Mijitu ambayo ipo bungeni kutetea maslahi ya mabeberu badala ya maslahi ya taifa ni ya kuhurumia?
Hata Israel alipozaliwa masihi hawana huruma na watu kama hawa.
 
Alikuwepo Mch. Mama Getruda Lwakatare...

Siku moja mbunge mmoja alikuwa anachangia kwa style hii waliyoitumia Msukuma na Lijualikali ya kubeza na kuunga mkono utwezaji wa UTU wa binadamu wengine...

Huyo mama tena mkristo mchungaji mwenye kundi kubwa la kondoo analolichunga, akawa anacheka na kugonga meza kwa nguvu kama ishara ya kuunga hoja hiyo ya uhaini dhidi ya ubinadamu...

Haikuchukua muda mrefu, hukumu ya kifo ilimfuata humohumo. Sasa nadhani atakuwa amekwisha kuoza na kuchanganyikana na udongo....

Mungu hadhihakiwi hata kidogo...!!
R.I.H Mama Mchungaji
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Ha ha ha,hela kwanza mzee,dini baadae,,
Kwa ufupi hakuna mtu mnafiq kama mbongo,
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!

Duh 🙄 leo kuna mtu kaiba password yako.
 
CCM haijawahi kuwa na huruma na yeyote wanaehisi anawafichulia maovu yao,
By the way hata wachawi wanakufa na kuteseka,
R.I.P Nkuluzinza
 
Back
Top Bottom