johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Nimejikita kwenye dini yangu ambayo naielewa vizuri Ukristo!Mlevi ni mlevi tu, hata ukristo ni zaidi ya uislamu?
Hata Uislamu unahubiri Upendo na amani bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejikita kwenye dini yangu ambayo naielewa vizuri Ukristo!Mlevi ni mlevi tu, hata ukristo ni zaidi ya uislamu?
Duh....!Kama mtu anatumia kodi ya wamachinga na mama ntilie kulewa alafu anakuwa mbwii na ananguka na kuvunja mguu huyo ni wa kumhurumia?
Mijitu ambayo ipo bungeni kutetea maslahi ya mabeberu badala ya maslahi ya taifa ni ya kuhurumia?
Hata Israel alipozaliwa masihi hawana huruma na watu kama hawa.
Wabunge wa ccm ni kikundi cha mafashistKuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.
Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?
Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .
Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma
Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele
Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.
Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?
Maendeleo hayana vyama!
Mlevi ni mlevi tu, hata ukristo ni zaidi ya uislamu?
Israel watu kama hawa wanapigwa mawe. Yesu mwenyewe alibinuwa meza baada ya watu kuliharibu hekalu na kulifanya soko.Duh....!
Wewe utakuwa pagani.........ukristo hauhukumu!
Nimemwangalia Lijulikani nimesikitika sana! taifa limegawanyika aisee!
Leo kwa Mara ya kwanza nimekutafakari kwa kina na kukuelewa tofauti. Nadhani hata baadhi ya maandiko yako huwa ni katika hali ya kisiasa tuu lakini huna roho ya korosho kama nilivyo dhani awali.Nimejikita kwenye dini yangu ambayo naielewa vizuri Ukristo!
Hata Uislamu unahubiri Upendo na amani bwashee!
hata mseminari selasini?Simwoni mbunge mkristo mle ndani!
Waisrael makatili wale, yaani eti Hitler alivyowatesa na kuwaua, wakaja kulipa kisasi hadi uzao wa tatu, kuna maofisa wa Hitler na family zao walikimbilia brazil kujificha, jamaa waliwasaka kwa miaka 50 na kuwafyeka wote, sijui wana roho ya kikatili sana hawa.Israel watu kama hawa wanapigwa mawe. Yesu mwenyewe alibinuwa meza baada ya watu kuliharibu hekalu na kulifanya soko.
Sio ukatili ni principle. Ambayo karibu nchi zote duniani wamerithi. Inaitwa Elimination of obstacles to progress. Kama aliuwa ndugu zao wakati wa Hitler lazima nae amelizwa tena kizazi chake chote.Waisrael makatili wale,,yaani eti hitler alivyowatesa na kuwaua,,wakaja kulipa kisasi hadi uzao wa tatu,,kuna maofisa wa hitler na family zao walikimbilia brazil kujificha,,jamaa waliwasaka kwa miaka 50 na kuwafyeka wote,sijui wana roho ya kikatili sana hawa.
Ndugai ameniogopesha sana jinsi alivyomdhalilisha MsigwaNimemwangalia Lijulikani nimesikitika sana! taifa limegawanyika aisee!
Mkuu wala sio siki nyingi kuna watu watajutia sana matendo yao.Kwa hiyo na wewe unakubali between the line kuwa mbowe alikuwa amelewa
Unatuona sisi maboya na uzi wako wa kipuuzi
Huna tofauti na mtoto mchele mchele juakali
Mtoto pesa zinamtoa ubinadamu
Soon tutaelewana wapuuzi nyie
Mimi nawaonea burundi wivu kwa kufiwa na rais wao,sijui kwaniniKuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.
Tena huwa najiuliza ,....kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?
Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .
Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma
Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele
Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema " yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.
Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?
Maendeleo hayana vyama!
Pesa ya walipa kodi ndio wanahongwa kina lijuakali kuropoka hovyoNimemwangalia Lijulikani nimesikitika sana! taifa limegawanyika aisee!
Hawana... ni wapagani tuuMtu kama Mwambe, Lijualikali na Silinde utasema wana dini kweli?!!
Bwana mkubwa mie siangaliagi sasa hivyo nahisi na amani, hata TV naangalia tamthilia tu. Nimechoka kusikia watu wakitaja kwa kushindana jina la mtu mmoja tu, na wala awahisi ganzi.