Alikuwepo Mch. Mama Getruda Lwakatare...
Siku moja mbunge mmoja alikuwa anachangia kwa style hii waliyoitumia Msukuma na Lijualikali ya kubeza na kuunga mkono utwezaji wa UTU wa binadamu wengine...
Huyo mama tena mkristo mchungaji mwenye kundi kubwa la kondoo analolichunga, akawa anacheka na kugonga meza kwa nguvu kama ishara ya kuunga hoja hiyo ya uhaini dhidi ya ubinadamu...
Haikuchukua muda mrefu, hukumu ya kifo ilimfuata humohumo. Sasa nadhani atakuwa amekwisha kuoza na kuchanganyikana na udongo....
Mungu hadhihakiwi hata kidogo...!!